
Leo sekretarieti ya ajira imetangaza nafasi za kazi Nafasi za Kazi Wilaya ya Kakonko – Utumishi September 2024. Mkurugenzi Mtendaji amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa ...