Tume ya Utumishi wa Mahakama Tanzania (JSC) imefungua fursa mpya kwa kutangaza nafasi 228 za ajira kwa wananchi wenye sifa stahiki. Nafasi hizi ni muhimu kwa wale wanaotafuta ajira serikalini na wanaotaka kuchangia katika kuimarisha mifumo ya haki na utawala bora nchini.
Ajira hizi zinajumuisha nafasi mbalimbali katika ofisi za mahakama zetu, zikiwa na lengo la kuboresha huduma kwa wananchi na kuongeza ufanisi katika utoaji haki. Ni fursa ya kipekee kwa watanzania kuweza kutumia elimu na ujuzi wao katika sekta ya sheria na utumishi wa umma.
Ajira Portal Chaneli | Jiunge hapa |
Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 113 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Usimamizi wa Mahakama Sura 237 vinaipa Tume ya Utumishi wa Mahakama majukumu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuajiri watumishi wa Mahakama ya Tanzania wa kada mbalimbali.
Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi Mahakama ya Tanzania katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi:
Ajira Mpya Tume ya Utumishi wa Mahakama
NO. | KADA | NAFASI | KITUO CHA KAZI | CLOSING DATE | Jinsi ya kutuma maombi |
---|---|---|---|---|---|
1 | TECHNICIAN II (WELDING AND FABRICATION TECHNICIAN) | Nafasi 2 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
2 | TECHNICIAN II (CIVIL) | Nafasi 8 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
3 | ICT OFFICER II (SYSTEMS ADMINISTRATOR | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
4 | TECHNICIAN II (MECHANICAL) | Nafasi 1 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
5 | TECHNICIAN II (ELECTRICAL) | Nafasi 8 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
6 | TECHNICIAN II (PLUMBING) | Nafasi 6 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
7 | TECHNICIAN II (AIR CONDITION (HVAC) | Nafasi 1 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
8 | ICT OFFICER II (SYSTEM ANALYST) | Nafasi 12 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
9 | ICT OFFICER II (DATA SCIENTIST) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
10 | ICT OFFICER II (WEB & MULTIMEDIA ADMINISTRATOR) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
11 | ICT OFFICER II (NETWORK ADMINISTRATOR) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
12 | ICT OFFICER II (SECURITY MANAGEMENT) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
13 | ICT OFFICER II (SYSTEM DEVELOPER) | Nafasi 7 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
14 | MSAIDIZI WA OFISI | Nafasi 9 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
15 | MLINZI | Nafasi 7 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
16 | DEREVA II | Nafasi 21 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
17 | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II | Nafasi 13 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
18 | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II | Nafasi 6 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
19 | AFISA UGAVI MSAIDIZI I (ASSISTANT SUPPLIES OFFICER I) | Nafasi 13 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
20 | AFISA UGAVI DARAJA LA II (SUPPLIES OFFICER II) | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
21 | AFISA UTAWALA II | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
22 | MSAIDIZI WA HESABU I | Nafasi 36 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
23 | AFISA HESABU II | Nafasi 16 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
24 | HAKIMU MKAZI II | Nafasi 32 | Mahakama ya Tanzania | 2024-07-20 | Apply |
Matangazo ya nafasi za kazi ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama Bonyeza Hapa.
Soma zaidi: Jinsi Ya Kuangalia Salio NSSF Menu – Hatua za Kuangalia Salio la NSSF Mtandaoni?
Nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama
Jinsi ya kutuma maombi katika mfumo wa Tume ya Utumishi wa Mahakama unatakiwa kujisajili kwanza pia, kujaza taarifa zako za awali na kuambatanisha nakala muhimu zinazo takiwa ili uweze kutuma maombi kwenye mfumo wa JSC Tanzania. kwa maelezo zaidi jinsi ya kujisajili kwenye mfumo wa maombi ya ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama bonyeza hapa.
Leave a comment