Hili hapa tangazo la Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Medecins Frontiers/Doctors Without Borders (MSF) wanaoshughulika na utoaji wa Huduma ya Mama na Mtoto, anatangaza kazi za Mkataba kwa miezi sita sita za Afya kwa kada zifuatazo;

Wilaya hii leo imetuona watu wa Afya.