Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Mji Nanyamba – Utumishi Julai 2024. Halmashauri ya Mji Nanyamba imepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, chenye nafasi ya Mtendaji wa Mtaa III (4) na Msaidizi wa Kumbukumbu II (3) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo :-
Ajira Mpya Nanyamba
1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II NAFASI 3
2.MTENDAJI WA MTAA III– NAFASI 4
Ajira Mpya Nanyamba 2024
Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji Nanyamba,
S.L.P 1490,
NANYAMBA-MTWARA.