Leo, wametangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi TURSACCOS LTD – Agosti 2024. TURSACCOS LTD inapenda kuwatangazia Wananchi wote, Kuwa ina Nafasi moja ya Kazi ya Mkaguzi wa Ndani.
Ajira Mpya TURSACCOS LTD
1. Mkaguzi wa ndani – Nafasi 1
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Awe na Umri wa Miaka 25 hadi 45
- Awe na Elimu kuanzia Stashahada ya Uhasibu na kuendelea
- Shahada ya umahili yaani CPA ni kigezo cha ziada
- Awe amepitia Mafunzo ya kompyuta
- Awe na uzoefu wa miaka miwili (2) au zaidi wa kufanya kazi ya uhasibu
- Awe mwaminifu na kujisamia mwenyewe kwenye kazi zake
KAZI / WAJIBU WAKE;
- Kufanya uhakiki wa miamala yote ya fedha za Chama
- Kuhakikisha hali ya utoshelevu wa udhibiti wa ndani wa shughuli zote za Chama
- Kusaidia kamati ya usimamizi kutekeleza majukumu yake kitaalam
- Kumsadia Mkaguzi wa Nje katika kutekeleza wajibu wake
- Kushauri Bodi juu ya hali ya uendeshaji wa shughuli za Chama na maendeleo yake
MSHAHARA;
- Ni kwa Makubaliano
Barua zitumwe kwa Mwenyekiti, TURSACCOS LTD, S.L.P. 73, MTIBWA – Morogoro, zikiwa zimeambatanishwa na Vivuli (Photocopy) vya Vyeti na passport size moja. Au kwa E-mail: tursaccosltd@gmail.com.
Ajira Mpya TURSACCOS LTD
TURIANI SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY
PRI-MRG-MVM-DC-2023-3822
P.O.BOX 73,
TELEPHONE: 0627 283 981
E-mail: tursaccosltd@gmail.com
OFFICE LOCATION: MADIZINI, TURIANI, MVOMERO DISTRICT, MOROGORO, TANZANIA.
KUMB. N0. TURSACCOS/T./A.43/202
19/08/2024