Serikali ya Tanzania, kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), imetangaza nafasi 2785 za ajira Utumishi (PSRS) kwa watanzania wenye sifa stahiki. Hii ni fursa muhimu kwa wale wanaotafuta ajira mpya au nafasi za kazi katika sekta ya ...
Habari Times Latest Articles
Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea Kidato cha Sita 2025 NECTA
Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi Mei 2025 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea Kidato cha Sita 2025 NECTA; Waombaji wote wanasisitizwa ...
Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato cha sita 2024-25 NECTA
Karibu kwenye mwongozo wetu wa kina wa jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2024-25 kupitia NECTA. Baada ya juhudi na kazi ngumu za miaka miwili ya masomo ya kidato cha sita, ni wakati sasa wa kujua ...
Jinsi ya Kujiandaa kwa Usaili PSRS(Utumishi)
Kujiandaa kwa usaili wa kazi ni hatua muhimu inayoweza kuamua mafanikio yako katika kupata ajira. Usaili wa kazi katika PSRS (Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma) unahitaji maandalizi maalum ili kuhakikisha kuwa unakidhi vigezo na matarajio ya waajiri. Hapa ...
Nafasi 27 za kazi Wilaya ya Shinyanga
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anatangaza nafasi za ajira mpya 27 kwa Watanzania wenye sifa stahiki. Halmashauri imepokea kibali cha ajira kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, hivyo inakaribisha maombi ya ...