Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Sumbawanga – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa kuzingatia kibali cha ajira chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, anakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 19 za kazi kama ifuatavyo:
Ajira Mpya Sumbawanga
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – NAFASI 10
2. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 05
3. MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – NAFASI 02
4. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 02
Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi Sumbawanga
AJIRA MPYA SUMBAWANGA – NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 22 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga,
S.L.P 229,
SUMBAWANGA