Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ajira Mpya za Walimu Julai 2024 – Mfumo wa Maombi ya Ajira za Ualimu
CV na Barua ya kazi Ajira za Ualimu - Walimu 2024. Unaweza kuhariri barua yako ya maombi ya kazi kwa kuondoa uliyokuwa umeweka awali na kuweka barua nyingine. Utaweza kufanya hivi tu endapo bado tangazo la maombi ya kazi bado liko hewani na muda wa kuwasilisha maombi haujamalizika. Baada ya kubonyezRead more
CV na Barua ya kazi Ajira za Ualimu – Walimu 2024.
Unaweza kuhariri barua yako ya maombi ya kazi kwa kuondoa uliyokuwa umeweka awali na kuweka barua nyingine. Utaweza kufanya hivi tu endapo bado tangazo la maombi ya kazi bado liko hewani na muda wa kuwasilisha maombi haujamalizika.
Baada ya kubonyeza kitufe cha kuhariri (edit) utatakiwa kuambatisha barua inayotakiwa na kubonyeza sehemu iliyoandikwa huisha (update) ili kuhifadhi (save) barua yenye mabadiliko katika mfumo.
See lessJinsi Ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu (Ualimu) Utumishi – Ajira Portal 2024
Mfumo wa Ajira za Ualimu Ajira Portal Utumishi 2024. Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu: - Chagua ngazi yako ya Elimu - Chagua nchi uliyosoma. - Chagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu. - Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lRead more
Mfumo wa Ajira za Ualimu Ajira Portal Utumishi 2024.
Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu:
See less– Chagua ngazi yako ya Elimu
– Chagua nchi uliyosoma.
– Chagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu.
– Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lake lifanane na kilichoandikwa kwenye cheti chako cha kuhitimu ambacho unataka kukiambatisha kwenye mfumo, endapo hujapata jina linaloendana na kozi uliyomaliza huenda umechagua sehemu isiyo sahihi na taaluma yako, hivyo tafuta sehemu nyingine kwa kutumia jina la fani uliyofuzu kama ilivyoandikwa kwenye cheti chako.
– Chagua au jaza jina la chuo na kama chuo ulichosoma hakipo andika jina kamili kwa kirefu, usitumie vifupisho havikubaliki.
– Onyesha ulianza lini na ulihitimu lini.
– Ambatisha nakala ya cheti kilichothibitishwa na mwanasheria na hakikisha cheti chako unachokiweka hakizidi 2MB.
– Bonyeza sehemu ya hifadhi (save) ili taarifa na nyaraka zako ziweze kuhuishwa na kuhifadhiwa kwenye mfumo.
Jinsi Ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu (Ualimu) Utumishi – Ajira Portal 2024
Mfumo wa maombi ya ajira za walimu 2024 Utumishi. Taarifa za Kitaaluma: Katika eneo hili, mwombaji wa ajira anapaswa kuchagua kiwango cha elimu kwenye eneo la “educational level”. Inashauriwa mwombaji kazi aanze na taarifa za kidato cha nne na kuendelea kulingana na kiwango chake cha elimu. Wakati wRead more
Mfumo wa maombi ya ajira za walimu 2024 Utumishi.
Taarifa za Kitaaluma: Katika eneo hili, mwombaji wa ajira anapaswa kuchagua kiwango cha elimu kwenye eneo la “educational level”. Inashauriwa mwombaji kazi aanze na taarifa za kidato cha nne na kuendelea kulingana na kiwango chake cha elimu. Wakati wa kuingiza taarifa za kiwango cha elimu baada ya zile za elimu ya sekondari, mwombaji kazi anatakiwa kuchagua kundi la kozi yake (programme category).
Endapo umechagua kundi la kozi yako na usipoiona tambua kuwa hukuwa umechagua kundi stahiki na hivyo itakulazimu kurudi na kupitia makundi hayo upya. Aidha, kama mwombaji amesoma nje ya Tanzania atatakiwa kujaza kwenye eneo la kundi la kozi husika na Sekretarieti ya Ajira itathibitisha usahihi wa chaguo aliloliweka.
See lessAjira za Walimu 2024 Utumishi – Ajira za Ualimu Utumishi
Nafasi za Walimu 2024 Utumishi: Jinsi ya kutuma maombi ajira portal. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE). Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. Maombi yote yatumRead more
Nafasi za Walimu 2024 Utumishi: Jinsi ya kutuma maombi ajira portal.
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa ajira portal utumishi hapa https://portal.ajira.go.tz
See lessAjira za Walimu 2024 Utumishi – Ajira za Ualimu Utumishi
Ajira za Ualimu 2024 Utumishi zimetoka. Hizi ni baadhi ya sifa: Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa cheti cha Ualimu Daraja la IIIA. - NGAZI YA MSHAHARA KRead more
Ajira za Ualimu 2024 Utumishi zimetoka.
Hizi ni baadhi ya sifa: Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne ambaye amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali na kutunukiwa cheti cha Ualimu Daraja la IIIA.
– NGAZI YA MSHAHARA
See lessKwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGTS- C
Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi – Ajira za Walimu 2025
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za Ajira za Walimu 2025 kutoka Utumishi. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamojana vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARRead more
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za Ajira za Walimu 2025 kutoka Utumishi.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamojana vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’) (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)
See lessNafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi – Ajira za Walimu 2025
Ajira za Walimu (UALIMU) 2025 Utumishi - Nafasi 11015 za Ualimu Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo. Waombaji waambatishe maelezRead more
Ajira za Walimu (UALIMU) 2025 Utumishi – Nafasi 11015 za Ualimu
Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti 44 vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
See lessNafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi – Ajira za Walimu 2025
Ajira Mpya za Walimu 2025 Utumishi. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini. Waombaji wa nafasi za Mwalimu Daraja la III B na Mwalimu Daraja la III C wahakikishe wanambatisha HATI YA MATOKEO (ACADEMIC TRANSCRIPT) katika mfumRead more
Ajira Mpya za Walimu 2025 Utumishi.
Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.
Waombaji wa nafasi za Mwalimu Daraja la III B na Mwalimu Daraja la III C wahakikishe wanambatisha HATI YA MATOKEO (ACADEMIC TRANSCRIPT) katika mfumo wa “Ajira Portal” kwa ajii ya utambuzi wa masomo ya kufundishia.
Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
See lessNafasi za kazi Manispaa ya Iringa – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Iringa 2024 Utumishi - Nafasi za Halmashauri. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01/08/2024. Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; Mkurugenzi wa Halmashauri, Manispaa ya Iringa, S.L.P. 16Read more
Ajira Mpya Iringa 2024 Utumishi – Nafasi za Halmashauri.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01/08/2024.
See lessMuhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja
na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi wa Halmashauri,
Manispaa ya Iringa,
S.L.P. 162,
IRINGA.
Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS) – Julai 2024
Orodha ya walioitwa kazini Utumishi 2024/2025. Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha MpigaRead more
Orodha ya walioitwa kazini Utumishi 2024/2025.
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
Kwa matangazo mbalimbali ya nafasi za kazi, ajira mpya kutoka serikalini tembelea https://ajira.go.tz.
See less