Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za kazi Mwanga – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 31 Julai, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA MWANGA, S.L.P.716 MRead more
Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 31 Julai, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
See lessHALMASHAURI YA WILAYA MWANGA,
S.L.P.716
MWANGA
Jinsi ya Kuwa Mchambuzi wa Takwimu Bila Uzoefu
Jinsi ya Kuwa Mchambuzi wa Takwimu Bila Shahada Shahada siyo lazima kila mara ili kupata kazi kama mchambuzi wa takwimu. Wachambuzi wa takwimu wanahitajika sana, na waajiri wanataka kujua kwamba una ujuzi wa kufanya kazi hiyo. Ikiwa huna shahada, zingatia kufanya jalada lako la kazi (portfolio) kuwaRead more
Jinsi ya Kuwa Mchambuzi wa Takwimu Bila Shahada
Shahada siyo lazima kila mara ili kupata kazi kama mchambuzi wa takwimu. Wachambuzi wa takwimu wanahitajika sana, na waajiri wanataka kujua kwamba una ujuzi wa kufanya kazi hiyo. Ikiwa huna shahada, zingatia kufanya jalada lako la kazi (portfolio) kuwa bora kwa kuonyesha kazi zako nzuri zaidi.
See lessMajina ya Walioitwa kwenye Usaili NEC – Muleba INEC Julai 2024
Orodha ya walioitwa kwenye usaili INEC - NEC Tume ya uchaguzi Tanzania Aidha, katika usaili unatakiwa kufanya yafuatayo:- 1. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. 2. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpira kura, KitambuliRead more
Orodha ya walioitwa kwenye usaili INEC – NEC Tume ya uchaguzi Tanzania
Aidha, katika usaili unatakiwa kufanya yafuatayo:-
See less1. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
2. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpira kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji, kwa watumishi wa Umma awe na kitambulisho cha kazi.
3. Kila msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
4. Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
5. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili ifahamike kuwa hakufanikiwa kuingia kwenye usaili.
6. Orodha ya waoitwa kwenye usaili imeambatanishwa na tangazo hili
Walioitwa kwenye Usaili INEC – Bukoba NEC 2024
Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili NEC - INEC mikoa mbalimbali Tafadhali endelea kusubiri au tembelea kurasa la Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania
Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili NEC – INEC mikoa mbalimbali
Tafadhali endelea kusubiri au tembelea kurasa la Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania
See lessWalioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Karagwe 2024
Kwa majina mengine ya walioitwa kwenye usaili pia matokeo ya usaili tafadhali tembelea tovuti husika ya jimbo au kurasa za wilaya na majimbo pia tovuti ya INEC Tanzania
Kwa majina mengine ya walioitwa kwenye usaili pia matokeo ya usaili tafadhali tembelea tovuti husika ya jimbo au kurasa za wilaya na majimbo pia tovuti ya INEC Tanzania
See lessWalioitwa Kazini Manispaa ya lringa – Utumishi Julai 2024
Kwa matangazo ya nafasi za kazi, ajira mpya mbalimbali kutoka utumishi tafadhali tembelea PSRS
Kwa matangazo ya nafasi za kazi, ajira mpya mbalimbali kutoka utumishi tafadhali tembelea PSRS
See lessNafasi za kazi Kasulu – Utumishi Julai 2024
AJIRA MPYA KASULU. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/07/2024 x. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya S.L.P 97 KASULU
AJIRA MPYA KASULU.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/07/2024
x. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
See lessHalmashauri ya Wilaya
S.L.P 97
KASULU
Nafasi za kazi Rufiji – Utumishi July 2024
Ajira Mpya Rufiji - Nafasi za Halmashauri Utumishi Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 30 Julai, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA, S.L.Read more
Ajira Mpya Rufiji – Nafasi za Halmashauri Utumishi
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 30 Julai, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi
iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo
ielekezwe kwa: –
MKURUGENZI MTENDAJI,
See lessHALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P 28,
UTETE/RUFIJI
Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal – Utumishi
Habari mkuu, Mimi naona hujasoma maelezo kila kitu kimeandikwa hapo jinsi ya kutatua changamoto yako. Kuna namba za huduma kwa wateja utumishi pia email ya kuwasiliana na kitengo cha utumishi (ICT).
Habari mkuu,
See lessMimi naona hujasoma maelezo kila kitu kimeandikwa hapo jinsi ya kutatua changamoto yako.
Kuna namba za huduma kwa wateja utumishi pia email ya kuwasiliana na kitengo cha utumishi (ICT).
Mabadiliko ya Usaili TCAA
WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI TAASISI MBALIMBALI. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA), Shirika la Elimu Kibaha (KEC), Chuo cha Maji (WI), Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) anapenRead more
WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI TAASISI MBALIMBALI.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Elimu ya Biashara
See less(CBE), Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA), Shirika la Elimu Kibaha (KEC), Chuo cha Maji
(WI), Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-07-2024 hadi 24-07-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.