Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB
KUHAMA CHUO AU KOZI NDANI YA CHUO HESLB haitafanya malipo ya mkopo kwa wanafunzi ambao watahama vyuo kwa hiari yao wenyewe. Baada ya kupokea uthibitisho wa uhamisho wa mwanafunzi kutoka kwa mamlaka husika, uhamisho wa mkopo utafanyika. Hakuna uhamisho wa mkopo utakaofanyika zaidi ya siku mia moja isRead more
KUHAMA CHUO AU KOZI NDANI YA CHUO
See lessHESLB haitafanya malipo ya mkopo kwa wanafunzi ambao watahama vyuo kwa hiari yao wenyewe. Baada ya kupokea uthibitisho wa uhamisho wa mwanafunzi kutoka kwa mamlaka husika, uhamisho wa mkopo utafanyika. Hakuna uhamisho wa mkopo utakaofanyika zaidi ya siku mia moja ishirini (120) baada ya kutangazwa taarifa za udahili. Uhamisho wa mkopo utafanyika kulingana na kiasi cha mkopo kilichopangwa awali.
Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB
UREJESHAJI MKOPO HESLB Baada ya kuhitimu au kusitisha masomo ya elimu ya juu, mnufaika wa mkopo atatakiwa kurejesha mkopo kwa makato si chini ya asilimia kumi na tano (15%) ya mshahara wake wa kila mwezi. Mnufaika ambaye amejiajiri anapaswa kurejesha mkopo wake kwa kiwango kisichopungua shilingi lakRead more
UREJESHAJI MKOPO HESLB
See lessBaada ya kuhitimu au kusitisha masomo ya elimu ya juu, mnufaika wa mkopo atatakiwa kurejesha mkopo kwa makato si chini ya asilimia kumi na tano (15%) ya mshahara wake wa kila mwezi. Mnufaika ambaye amejiajiri anapaswa kurejesha mkopo wake kwa kiwango kisichopungua shilingi laki moja (100,000/=) kwa mwezi au 10% ya pato lake linalotozwa kodi. Mikopo yote inatozwa asilimia moja (1%) ya ada ya uendeshaji kwenye mkopo halisi wa mnufaika kwa mwaka.
Kozi zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB
KADA (KOZI) ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB Kundi la Tatu (i) Programu katika kundi hili ni pamoja na Masomo ya Biashara na Uongozi, Sayansi za Jamii, Sanaa, Sheria, Lugha, Fasihi na Masomo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano. (ii) Programu nyingine zote ambazo hazijaorodheshwa katika kundi lolRead more
KADA (KOZI) ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB
See lessKundi la Tatu
(i) Programu katika kundi hili ni pamoja na Masomo ya Biashara na Uongozi, Sayansi za Jamii, Sanaa, Sheria, Lugha, Fasihi na Masomo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano.
(ii) Programu nyingine zote ambazo hazijaorodheshwa katika kundi lolote kati ya hayo matatu, zitaangukia katika kundi la tatu.
Kozi zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB
KOZI ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB Kundi la Pili Kozi katika kundi hili ni: (i) Programu za Msingi za Sayansi (Shahada ya Sayansi kwa ujumla katika Wanyama, Mimea, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Baiolojia ya Viumbe Vidogo, Baiolojia ya Mifugo na Bioteknolojia, Uvuvi na Mifugo, Sayansi ya MazingiraRead more
KOZI ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB
Kundi la Pili
Kozi katika kundi hili ni:
See less(i) Programu za Msingi za Sayansi (Shahada ya Sayansi kwa ujumla katika Wanyama, Mimea, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Baiolojia ya Viumbe Vidogo, Baiolojia ya Mifugo na
Bioteknolojia, Uvuvi na Mifugo, Sayansi ya Mazingira na Uhifadhi, Matibabu, Hisabati na Takwimu, Sayansi ya Mazingira na Usimamizi, Afya na Mazingira, Baioteknolojia na Maabara, Wanyamapori na Uhifadhi, na Kompyuta); TEHAMA, Vipimo na Mizani, Mazingira na Maendeleo ya Miji.
(ii) Programu ya Sayansi ya Ardhi (Ubunifu Majengo, Ubunifu Mandhari nje ya Majengo, Usanifu ndani ya Majengo, Uchumi Ujenzi, Mipango Miji na Vijiji, Usimamizi na Uthaminishi Ardhi, Jiospasho, Teknolojia katika Usanifu).
Sifa Kuu za Kupata Mkopo Wa Bodi ya Mikopo HESLB Tanzania
VIGEZO VYA KUPATA MKOPO HESLB - BODI YA MIKOPO TANZANIA (i) Mkopo utatolewa kwa kuzingatia uhitaji na programu; (ii) Waombaji wapya ambao kwa sasa wanaendelea na masomo, lazima wawe wamehitimu elimu ya kidato cha sita (ACSEE) au stashahada (diploma) ndani ya miaka mitano, kuanzia mwaka 2020 hadi 202Read more
VIGEZO VYA KUPATA MKOPO HESLB – BODI YA MIKOPO TANZANIA
See less(i) Mkopo utatolewa kwa kuzingatia uhitaji na programu;
(ii) Waombaji wapya ambao kwa sasa wanaendelea na masomo, lazima wawe wamehitimu elimu ya kidato cha sita (ACSEE) au stashahada (diploma) ndani ya miaka mitano, kuanzia mwaka 2020 hadi 2024.
(iii) Waombaji wote waliodahiliwa kusoma shahada mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2024/2025 wanapaswa wawe wamehitimu kidato cha sita/Stashahada au sifa nyingine linganishi katika kipindi cha miaka mitano, yaani kati ya 2020 na 2024.
Mambo ya Kuzingatia Wakati wa kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO HESLB 2024/2025 i. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Wanafunzi wa Shahada ya Awali (Bachelor) kwa 2024 -2025, ii. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Wanafunzi wa Stashahada (Diploma) kwa 2024 – 2025, iii. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Stashahada ya Umahiri katika MRead more
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO HESLB 2024/2025
i. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Wanafunzi wa Shahada ya Awali (Bachelor) kwa 2024 -2025,
ii. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Wanafunzi wa Stashahada (Diploma) kwa 2024 – 2025,
iii. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Stashahada ya Umahiri katika Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo kwa 2024 – 2025 (Post Graduate Diploma in Legal Practice),
iv. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Shahada za Umahiri na Uzamivu, na
v. Mwongozo wa Utoaji Ruzuku za Samia kwa mwaka 2024 – 2025
See lessWaliochaguliwa na TAMISEMI kujiunga na Chuo cha IFM
IFM Huduma kwa wateja DAR ES SALAAM: +255-734-205030 / +255-734-205029 / +255-734-205028 MWANZA: +255-734-205026 DODOMA: +255-734-205025 SIMIYU: +255-734-205027 Orodha ya waliochaguliwa IFM Bonyeza Hapa - https://ifm.ac.tz/advertisements
IFM Huduma kwa wateja
DAR ES SALAAM: +255-734-205030 / +255-734-205029 / +255-734-205028
MWANZA: +255-734-205026
DODOMA: +255-734-205025
SIMIYU: +255-734-205027
Orodha ya waliochaguliwa IFM Bonyeza Hapa – https://ifm.ac.tz/advertisements
See lessNafasi za Kazi Golf Crest Hoteli
Mwisho wa kutuma maombi ni kabla ya 22 Julai 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni kabla ya 22 Julai 2024
See lessNafasi za Kazi Golf Crest Hoteli
Ajira Mpya Gold Crest Hoteli Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za kazi za mapokezi mwanza Hoteli ya Gold Crest. Wagombea wanaopenda wanaweza kutuma barua ya maombi na CV yao kama nyaraka moja kwa hr@goldcresthotel.com
Ajira Mpya Gold Crest Hoteli
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za kazi za mapokezi mwanza Hoteli ya Gold Crest.
Wagombea wanaopenda wanaweza kutuma barua ya maombi na CV yao kama nyaraka moja kwa hr@goldcresthotel.com
See lessMajina ya Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS)
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva. Pakua hapa orodha yaRead more
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
Pakua hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini utumishi leo tarehe julai 15-2024
See lessBonyeza hapa – https://t.co/wzl7W50PZt