Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Walioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Shinyanga Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI INEC SHINYANGA Kama uliomba ajira katika kuandikisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania basi tafta jina lako hapa tiari majina yametoka ya wanao takiwa kwenda kufanya usaili.
KUITWA KWENYE USAILI INEC SHINYANGA
Kama uliomba ajira katika kuandikisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania basi tafta jina lako hapa tiari majina yametoka ya wanao takiwa kwenda kufanya usaili.
See lessNafasi za Kazi Mji Nanyamba – Utumishi Agosti 2024
Ajira Mpya Nanyamba 2024 Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi wa Mji, HalRead more
Ajira Mpya Nanyamba 2024
Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi wa Mji,
See lessHalmashauri ya Mji Nanyamba,
S.L.P 1490,
NANYAMBA-MTWARA.
Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024
VIWANGO VYA MISHAHARA MDAs & LGAs 2024 / 2025 Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS C Kwa kuzingatia ngazi yaRead more
VIWANGO VYA MISHAHARA MDAs & LGAs 2024 / 2025
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B
See lessKwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS C
Kwa kuzingatia ngazi ya Mshahara wa Serikali TGS
Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024
NGAZI YA MISHAHARA MDAs & LGAs Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali kuanzia TGS A, TGS B,TGS D, TGS E
NGAZI YA MISHAHARA MDAs & LGAs
Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali kuanzia TGS A, TGS B,TGS D, TGS E
See lessNafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024
Ajira Mpya MDAs & LGAs 2024 - Nafasi za kazi Ajira Portal Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA KRead more
Ajira Mpya MDAs & LGAs 2024 – Nafasi za kazi Ajira Portal
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
See lessOFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
Sifa za Fundi Sanifu (Umeme) Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Fundi Sanifu (Umeme) 2024 Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Fundi Sanifu (Umeme)? Ngazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 350,000.00 mpaka 490,000.00 na kuendelea kwa kila mwezi. Hii hulipwa kwa kulingana na Elimu.
Mshahara wa Fundi Sanifu (Umeme) 2024
Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Fundi Sanifu (Umeme)?
See lessNgazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 350,000.00 mpaka 490,000.00 na kuendelea kwa kila mwezi. Hii hulipwa kwa kulingana na Elimu.
Walioitwa Kazini Utumishi – 02-08-2024
Kuitwa kazini Utumishi 2024 Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya URead more
Kuitwa kazini Utumishi 2024
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
See lessNafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya za Halmashauri 2024 Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detail C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika; Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili amRead more
Ajira Mpya za Halmashauri 2024
Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detail C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika;
Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
See lessNafasi za Kazi Manispaa ya Singida – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Manispaa ya Singida 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 13 Agosti, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - - Mkurugenzi wa Manispaa Halma 236, SINGIDA
Ajira Mpya Manispaa ya Singida 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 13 Agosti, 2024
See lessMUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
–
Mkurugenzi wa Manispaa
Halma 236,
SINGIDA
Nafasi za Kazi Wilaya ya Kilolo – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Kilolo 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Agosti, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya Kilolo, S.L.P. 2324, KILOLO.
Ajira Mpya Kilolo 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji (W),
See lessHalmashauri ya Wilaya Kilolo,
S.L.P. 2324,
KILOLO.