Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Chemba – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Chemba 2024 - Nafasi za Halmashauri Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 07 Agosti, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA CHERead more
Ajira Mpya Chemba 2024 – Nafasi za Halmashauri
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 07 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA
S.L.P 830
CHEMBA – DODOMA.
Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana
SIfa za Kujiunga na Jeshi la JWTZ Tanzania JESHI LA WANANCHI 2024 Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: - 1. Awe raia wa Tanzania 2. Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu.. 3. Awe hajaoa/hajaolewa 4. Awe na umriRead more
SIfa za Kujiunga na Jeshi la JWTZ Tanzania JESHI LA WANANCHI 2024
Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: –
1. Awe raia wa Tanzania
See less2. Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
3. Awe hajaoa/hajaolewa
4. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
5. Awe na tabia na mwenendo mzuri
6. Awe na akili timamu na afya nzuri
Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana
Jinsi ya kutuma maombi ya Ajira za Jeshi 2025. Kulingana na tangazo la mwaka huu wengi wanasema unapeleka moja kwa moja DODOMA ila kwa walio mbali Maombi yanatumwa kwa njia ya posta. Mkuu wa Utumishi Jeshini, Makao Makuu ya Jeshi, Sanduku la Posta 194, DODOMA, Tanzania Kuwa makini.
Jinsi ya kutuma maombi ya Ajira za Jeshi 2025.
Kulingana na tangazo la mwaka huu wengi wanasema unapeleka moja kwa moja DODOMA ila kwa walio mbali Maombi yanatumwa kwa njia ya posta.
Mkuu wa Utumishi Jeshini,
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania
Kuwa makini.
See lessNafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana
Utaratibu wa Kujiunga na jeshi JWTZ 2025 / 2026 Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali. Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi. Kwa maelezo mengine tembeleaRead more
Utaratibu wa Kujiunga na jeshi JWTZ 2025 / 2026
Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Kwa maelezo mengine tembelea tovuti ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
See lessNafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana
Mshahara wa Mwanajeshi 2025/2026 Naomba kujua kiwango cha mshahara wa mwanajeshi wa Tanzania ni kiasi gani
Mshahara wa Mwanajeshi 2025/2026
Naomba kujua kiwango cha mshahara wa mwanajeshi wa Tanzania ni kiasi gani
See lessNafasi za Jeshi JWTZ 2025 – Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Ajira Mpya Jeshini - Nafasi za kazi Jeshi la JWTZ 2024 MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO Mkuu wa Utumishi Jeshini, Makao Makuu ya Jeshi, Sanduku la Posta 194, DODOMA, Tanzania
Ajira Mpya Jeshini – Nafasi za kazi Jeshi la JWTZ 2024
MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO
Mkuu wa Utumishi Jeshini,
See lessMakao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania
Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 – Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Nafasi za Jeshini 2024 - Nafasi za kujiunga na Jeshi 2024 JWTZ UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI JESHINI (JWTZ) Utaratibu wa kutuma maombi ni ufuatao:- a. Kwa vijana waliopo katika makambi ya JKT 'Operesheni General Venance Mabeyo' taratibu zao zitatainishwa na Makao Makuu ya Jeshi. b. Kwa vijana waliohitiRead more
Nafasi za Jeshini 2024 – Nafasi za kujiunga na Jeshi 2024 JWTZ
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI JESHINI (JWTZ)
Utaratibu wa kutuma maombi ni ufuatao:-
a. Kwa vijana waliopo katika makambi ya JKT ‘Operesheni General Venance Mabeyo’ taratibu zao zitatainishwa na Makao Makuu ya Jeshi.
b. Kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Makambi ya JKT, maombi yao yaandikwe kwa mkono na kuwasilishwa Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Agosti, 2024 hadi tarehe 14 Agosti, 2024 wakiwa na vivuli vya nyaraka zifuatazo:-
(1) Nakala ya kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
See less(2) Nakala ya cheti cha kuzaliwa.
(3) Nakala za vyeti vya shule.
(4) Nakala ya cheti cha JKT.
(5) Picha nne (4) za rangi ya ukubwa wa pasipoti.
Nafasi 50 za Wakusanya Taarifa za Majengo Manispaa ya Kigamboni
Nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni 2024 - Kukusanya Taarifa za Majengo JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI Barua zote za maombi ya kazi zielekezwe kwa: Mkurugenzi wa Manispaa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni S.L.P 36009 2 Barabara ya Mashujaa 17882 KIGAMBONI Barua zote za maombi ya kazi zipitishweRead more
Nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni 2024 – Kukusanya Taarifa za Majengo
JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI
Barua zote za maombi ya kazi zielekezwe kwa:
Mkurugenzi wa Manispaa
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
S.L.P 36009
2 Barabara ya Mashujaa
17882 KIGAMBONI
Barua zote za maombi ya kazi zipitishwe na Mtendaji wa Mtaa anapoishi mwombaji;
Upande wa mbele wa Bahasha ya maombi, eneo la juu kulia landikwe: Kumb. Na. DA.215/386/02/24;
Barua za maombi zipelekwe katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata unayoomba;
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni siku ya Jumanne tarehe 31 Julai 2024, saa 9:00 Alasiri.
Erasto N. Kiwale
See lessMKURUGENZI WA MANISPAA
(HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI)
Nafasi 50 za Wakusanya Taarifa za Majengo Manispaa ya Kigamboni
Ajira Mpya Manispaa ya Kigamboni 2024 - Wakusanya Taarifa MAOMBI YAAMBATISHWE NA Nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne na kuendelea; Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa; Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya Kitambulisho cha Taifa; Picha mbili za hivi karibuni (Passport size photograph);
Ajira Mpya Manispaa ya Kigamboni 2024 – Wakusanya Taarifa
MAOMBI YAAMBATISHWE NA
Nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne na kuendelea;
See lessNakala ya Cheti cha Kuzaliwa;
Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya Kitambulisho cha Taifa;
Picha mbili za hivi karibuni (Passport size photograph);
Nafasi za Kazi Wilaya ya Busokelo – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Busokelo 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSOKELO S.LP. 2 TUKUYU.
Ajira Mpya Busokelo 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA BUSOKELO
S.LP. 2
TUKUYU.