Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Sifa za Afisa Sheria Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Afisa Sheria 2024/2025 Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Sheria au Uanasheria? Ngazi ya mshahara ni TGS. E yaani Tshs. .690000.00 na kuendelea kwa kila mwezi.
Mshahara wa Afisa Sheria 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Sheria au Uanasheria?
See lessNgazi ya mshahara ni TGS. E yaani Tshs. .690000.00 na kuendelea kwa kila mwezi.
Sifa za Dereva Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Dereva 2024/2025 Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Udereva? Ngazi ya mshahara ni TGS B yaani Tshs. .450,000.00 na kuendelea kwa kila mwezi.
Mshahara wa Dereva 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Udereva?
See lessNgazi ya mshahara ni TGS B yaani Tshs. .450,000.00 na kuendelea kwa kila mwezi.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mbeya – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Mbeya 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi wa Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, S. L. P 599, MBEYA.
Ajira Mpya Mbeya 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi wa Mtendaji (W),
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Mbeya,
S. L. P 599,
MBEYA.
Kuitwa Kazini Utumishi leo Julai 2024
Walioitwa kazini Utumishi Taasisi mbalimbali 2024 Orodha kamili ya majina ya walioitwa makazini ipo juu kwenye PDF. Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kRead more
Walioitwa kazini Utumishi Taasisi mbalimbali 2024
Orodha kamili ya majina ya walioitwa makazini ipo juu kwenye PDF.
See lessWanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
Sifa za Mwandishi Mwendesha Ofisi Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Mwandishi Mwendesha Ofisi 2024/2025 Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Mwandishi Mwendesha Ofisi? Ngazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 585,000.00 na kuendelea kwa kila mwezi.
Mshahara wa Mwandishi Mwendesha Ofisi 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Mwandishi Mwendesha Ofisi?
See lessNgazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 585,000.00 na kuendelea kwa kila mwezi.
Sifa za Msaidizi wa Kumbukumbu Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Msaidizi wa Kumbukumbu 2024/2025 Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Kumbukumbu? Ngazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 585,000.00 kwa mwezi
Mshahara wa Msaidizi wa Kumbukumbu 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Kumbukumbu?
See lessNgazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 585,000.00 kwa mwezi
Sifa za Mtendaji wa Kijiji Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Mtendaji wa Kijiji 2024/2025 Ni upi mshahara wa mtu ambae kasomea utendaji wa kijiji? Ngazi ya Mshahara ni TGS B yaani Tshs.450,000.00 kwa mwezi.
Mshahara wa Mtendaji wa Kijiji 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu ambae kasomea utendaji wa kijiji?
See lessNgazi ya Mshahara ni TGS B yaani Tshs.450,000.00 kwa mwezi.
INEC Walioitwa kwenye Mafunzo NEC – Julai 2024
NEC Kuitwa kwenye mafuzo INEC 2024 Orodha ya majina ya mikoa mingine inapatikana katika tovuti husika. hivyo tembelea ili kuona jina lako.
NEC Kuitwa kwenye mafuzo INEC 2024
Orodha ya majina ya mikoa mingine inapatikana katika tovuti husika. hivyo tembelea ili kuona jina lako.
See lessSekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2024
Nifanyeje Kutuma maombi ya Ajira za Ualimu 2024? Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment PoRead more
Nifanyeje Kutuma maombi ya Ajira za Ualimu 2024?
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’) (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)
See lessNafasi za Kazi Wilaya ya Mtama – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Mtama 2024 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04 Agosti 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja nav yeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA S.L.P 328 MTAMA
Ajira Mpya Mtama 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04 Agosti 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja nav yeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA
S.L.P 328
MTAMA