Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ajira za Walimu 2024 Utumishi – Ajira za Ualimu Utumishi
Nafasi za Walimu 2024 Utumishi: Jinsi ya kutuma maombi ajira portal. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE). Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. Maombi yote yatumRead more
Nafasi za Walimu 2024 Utumishi: Jinsi ya kutuma maombi ajira portal.
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa ajira portal utumishi hapa https://portal.ajira.go.tz
See lessNafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi – Ajira za Walimu 2024
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za Ajira za Walimu 2024 kutoka Utumishi. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamojana vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARRead more
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za Ajira za Walimu 2024 kutoka Utumishi.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamojana vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’) (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)
See lessNafasi za kazi Manispaa ya Iringa – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Iringa 2024 Utumishi - Nafasi za Halmashauri. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01/08/2024. Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; Mkurugenzi wa Halmashauri, Manispaa ya Iringa, S.L.P. 16Read more
Ajira Mpya Iringa 2024 Utumishi – Nafasi za Halmashauri.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01/08/2024.
See lessMuhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja
na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi wa Halmashauri,
Manispaa ya Iringa,
S.L.P. 162,
IRINGA.
Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS) – Julai 2024
Orodha ya walioitwa kazini Utumishi 2024/2025. Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha MpigaRead more
Orodha ya walioitwa kazini Utumishi 2024/2025.
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
Kwa matangazo mbalimbali ya nafasi za kazi, ajira mpya kutoka serikalini tembelea https://ajira.go.tz.
See lessNafasi za kazi Manispaa ya Lindi – Utumishi Julai 2024
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za kazi Halmashauri ya Manispaa ya Lindi 2024 Utumishi. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anauani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz. Anuani hii inapatikana pia kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuiRead more
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za kazi Halmashauri ya Manispaa ya Lindi 2024 Utumishi.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anauani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz. Anuani hii inapatikana pia kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’.
Kumbuka: Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIKIWA
See lessNafasi za kazi Tume ya Utumishi Wa Bunge Tanzania – Utumishi Julai 2024
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Bunge 2024 Utumishi. Maombi yote yatumwe kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: - https://portal.ajira.go.tz. (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingiRead more
Jinsi ya kutuma maombi katika nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Bunge 2024 Utumishi.
Maombi yote yatumwe kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: – https://portal.ajira.go.tz. (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa (Recruitment Portal). Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
See lessNafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Kibit Tanzania - Nafasi za Halmashauri. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 28 Julai, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, S.L.Read more
Ajira Mpya Kibit Tanzania – Nafasi za Halmashauri.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 28 Julai, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya,
S.L.P 33,
KIBITI.
Ufadhili wa Masomo Mfuko wa Kumbukumbu ya Udhamini wa Mwalimu Julius K. Nyerere
Ufadhili wa masomo BOT 2024-2025 Kundi A: Masomo ya Sayansi na Hisabati (Wanafunzi wa Kike pekee) Maombi ya Udhamini chini ya kundi hili ni kwa wagombea wa kike pekee na wanatakiwa kutimiza vigezo vifuatavyo: a) Mwombaji lazima awe raia wa kike wa Tanzania aliyemaliza Elimu ya Sekondari ya Kidato chRead more
Ufadhili wa masomo BOT 2024-2025
Kundi A: Masomo ya Sayansi na Hisabati (Wanafunzi wa Kike pekee)
Maombi ya Udhamini chini ya kundi hili ni kwa wagombea wa kike pekee na wanatakiwa kutimiza vigezo vifuatavyo:
a) Mwombaji lazima awe raia wa kike wa Tanzania aliyemaliza Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Sita (ACSEE) mwaka 2024.
See lessb) Mwombaji lazima awe mwanafunzi wa kike mwenye ufaulu wa hali ya juu (Daraja la Kwanza) katika masomo ya Sayansi au Hisabati katika Mitihani ya Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Sita (ACSEE) ya mwaka 2024; na
c) Mwombaji lazima awe ameomba/amepokelewa kujiunga na programu ya Shahada ya Kwanza ya muda wote katika chuo kikuu kinachotambulika ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Programu hiyo inapaswa kuanza katika mwaka wa masomo wa 2024/2025 katika fani ya Sayansi au Hisabati.
Fomu ya Mapendekezo Ufadhili wa Masomo Mwalimu Nyerere 2024/2025 – BOT
Fomu ya maombi Ufadhili wa Masomo Mfuko wa Kumbukumbu ya Udhamini wa Mwalimu Julius K. Nyerere. Kumbuka: Ni wagombea waliochaguliwa tu watakaowasiliana kwa ajili ya usaili. Mwenyekiti, Kamati ya Tuzo za Udhamini, Mfuko wa Kumbukumbu ya Udhamini wa Mwalimu Julius K. Nyerere, Benki Kuu ya Tanzania, MtRead more
Fomu ya maombi Ufadhili wa Masomo Mfuko wa Kumbukumbu ya Udhamini wa Mwalimu Julius K. Nyerere.
Kumbuka: Ni wagombea waliochaguliwa tu watakaowasiliana kwa ajili ya usaili.
Mwenyekiti,
See lessKamati ya Tuzo za Udhamini,
Mfuko wa Kumbukumbu ya Udhamini wa Mwalimu Julius K. Nyerere,
Benki Kuu ya Tanzania,
Mtaa wa Mirambo 2, 11884,
DAR ES SALAAM.
Simu Na. +255 22 2233041
Faksi Na. +255 22 2234088
Nafasi za Ufadhili wa Masomo Benki Kuu ya Tanzania (BOT) 2024/2025
Ufadhili wa Masomo Mwalimu Julius K. Nyerere Scholarship 2024/2025. Ufadhili huu hutolewa kwa kuzingatia sifa za kitaaluma na mchakato wa uchaguzi mkali. Waombaji watakaofaulu hupata ufadhili kamili unaogharamia gharama zote za moja kwa moja za chuo (ada za masomo nk.) na gharama za moja kwa moja zaRead more
Ufadhili wa Masomo Mwalimu Julius K. Nyerere Scholarship 2024/2025.
Ufadhili huu hutolewa kwa kuzingatia sifa za kitaaluma na mchakato wa uchaguzi mkali. Waombaji watakaofaulu hupata ufadhili kamili unaogharamia gharama zote za moja kwa moja za chuo (ada za masomo nk.) na gharama za moja kwa moja za mwanafunzi (chakula, malazi, posho ya vitabu na vifaa vya kuandikia, mafunzo kwa vitendo, mahitaji maalum ya kitivo nk.) kama ilivyoainishwa katika muundo wa gharama za taasisi husika ikijumuisha kompyuta mpakato mpya kabisa.
See less