Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajita katika Utumishi wa Umma | Tangazo Muhimu kuhusu Ajira za Ualimu 2025. Ikumbukwe Julai 20, 2024 kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa walikaribisha maombi ya kazi kutoka kwa ...
Habari Times Latest Questions
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Ajira mpya za ualimu, nafasi za kazi za walimu, Nafasi za Ajira za Ualimu Utumishi – Ajira za Walimu 2025; Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa ...
Kutoka Utumishi, Jinsi ya kubadili taarifa ajiraportal – Jinsi ya kufuta cheti, document yoyote ile Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal 2025; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 ...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Wilaya ya Liwale 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Medecins Frontiers/Doctors Without Borders (MSF) wanaoshughulika na utoaji wa Huduma ya Mama ...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka DHL Tanzania 2025 kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kujaza ajira mpya zilizotangazwa, kumbuka kutuma maombi mapema.
Naomba kujua ni kipi kinaendelea katika malalamiko ya matokeo ya usaili TRA. Mimi hata namba yangu sikuiona kwenye matokeo jamani hii ni shida sana.

Nafasi za kazi JWTZ 2025, Kujiunga na Jeshi la wananchi Tanzania Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana kwa Watanzania wenye nia na sifa zilizo tajwa hapa chini. TANGAZO LA NAFASI ZA JESHINI 2025