Ajira Mpya – Nafasi za Kazi Cartrack – Julai 2024. “Tunajua kwamba kupata kazi yenye maana na yenye kuridhisha inaweza kuwa safari ndefu. Lengo letu ni kufanya mchakato huo kuwa rahisi iwezekanavyo kwako, na kuunda mazingira ya kazi yanayoridhisha – ...
Habari Times Latest Questions
Tanzania: Nafasi za Kazi Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC – Julai 2024; Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC (MKCB) inatafuta Meneja wa Tawi kwa ajili ya Tawi la Arusha. Nafasi hii inahitaji mtu mwenye uzoefu na ujuzi wa kusimamia ...
Serikali imetangaza Nafasi za kazi Nyasa – Utumishi Julai 2024 kupitia PSRS, Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 chenye Kada za Mtendaji wa kijiji Daraja la ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Nafasi za kazi Wilaya ya Ngorongoro – Utumishi Julai 2024; Kufuatia kutolewa kwa Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya ...
Mwongozo: Ajira Mpya za Walimu Julai 2024 – Mfumo wa Maombi ya Ajira za Ualimu. Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa ...
Ikumbukwe, Leo Utumishi (PSRS) walitoa tangazo la nafasi za ajira mpya za walimu (Ualimu) wa Watanzania wote wenye sifa. Hivyo huu ni mwongozo muhimu wa Jinsi Ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu (Ualimu) Utumishi – Ajira Portal 2024; Waombaji kazi ...

Tangazo la Ajira za Walimu 2024 Utumishi – Ajira za Ualimu UtumishiKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye ...
Leo kutoka utumishi (PSRS0, Ajira Mpya – wametangaza Nafasi za kazi Manispaa ya Iringa – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2023 na tarehe 21-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ...
Leo kutoka utumishi (PSRS), Ajira Mpya – Nafasi za kazi Kigamboni – Utumishi 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Kigamboni kuomba nafasi za kazi ziliyotajwa hapo ...