Leo kutoka Sekretarieti ya Ajira Serikalini wametangaza fursa mpya pia, ajira mpya katika Nafasi za kazi Wilaya ya Rungwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe amepokea kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya mwaka ...
Habari Times Latest Questions
Leo 26/07/2024, Sekretarieti ya Ajira Serikalini imetangaza ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Iramba – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa ...
Leo; Sekretarieti ya Ajira Serikali imetangaza nafasi za kazi katika Ajira Mpya Jiji la Tanga – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Tanga amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu ...
Video rasmi wa “Komasava Remix” unawashirikisha wasanii mahiri, Diamond Platnumz kutoka Tanzania, Jason Derulo kutoka Marekani, pamoja na wasanii Khalil Harisson na Chley. Video hii inaonyesha miondoko ya kuvutia na yenye nguvu ya kucheza, ikifanyika katika mandhari mbalimbali zenye mvuto ...
Leo tarehe 25/07/2024 KUMB NA.SDC/A20/17/22, Sekretarieti ya Ajira Tanzania imetangaza nafasi za kazi mpya katika Ajira Mpya Wilaya ya Songwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu ...
Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi ambazo ni Ajira Mpya kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) – Utumishi Julai 2024. Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) ni shirika linalomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ...
Leo kutoka Sekretarieti ya Ajira, Serikali imetangaza ajira mpya au Nafasi za kazi Mji Masasi – Utumishi Julai 2024. Kufuatia Halmashauri ya Mji Masasi kupata kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, chenye nafasi ya Mtendaji wa ...
Leo tarehe 25/07/2024, Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi iwe fursa mpya na Ajira Mpya Wilaya ya Mpimbwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka ...
Leo tarehe 25/07/2024, Serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira wametangaza fursa mpya za nafasi za kazi – Ajira Mpya Wilaya ya Muleba – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ...
Leo tarehe 24/07/2024; Benki ya NBC imetangaza fursa mpya kwa watanzania wenye nia na sifa za kuwania Ajira Mpya NBC Bank Tanzania – Julai 2024, Nafasi za kazi hizi ni kwa ‘Corporate Service Officer’. NBC ndiyo benki kongwe zaidi nchini ...