
Leo sekretarieti ya ajira PSRS, Imetangaza matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi ya teknolojia Mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 17/09/2024. Orodha kamili ipo chini. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na ...