Hii hapa Orodha ya Vyuo Vikuu Bora tena maarufu 30 vya Tanzania kwa mwaka 2024/2025 vilivyowekwa kwenye viwango na Mashirika ya Kimataifa ya Upimaji na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), vyuo vyote bora vya Tanzania kwa mwaka 2024/2025 vimejumuishwa. Orodha ...
Habari Times Latest Questions
Hii hapa orodha kamili ya Vyuo Vikuu Tanzania Chini ya TCU S/NJINA LA CHUO KIKUUMAKAO MAKUUAINAHADHI1Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)Dar es SalaamChuo Kikuu cha UmmaKimesajiliwa na Kupatiwa Hati2Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)MorogoroChuo Kikuu cha UmmaKimesajiliwa na ...
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliochaguliwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kujiunga chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika matawi yake yote (Dar-es-Salaam Campus, Mwanza Campus, Dodoma Campus na Simiyu Campus) kutembelea tovuti ya chuo:
Chuo Kikuu cha Mzumbe kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na wasio Watanzania kwa ajili ya kujiunga na programu mbalimbali za Shahada zinazotolewa katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa awamu ya kwanza ya utumaji ...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo kikuu cha umma kilichoko Dar es Salaam, Tanzania. Ilianzishwa mnamo 1961 kama chuo kikuu cha ushirika cha Chuo Kikuu cha London. Chuo kikuu hicho kilipata kuwa mshirika wa Chuo Kikuu cha Afrika ...
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA KATIKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote ...