Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
  • 1

Video rasmi wa “Komasava Remix” unawashirikisha wasanii mahiri, Diamond Platnumz kutoka Tanzania, Jason Derulo kutoka Marekani, pamoja na wasanii Khalil Harisson na Chley. Video hii inaonyesha miondoko ya kuvutia na yenye nguvu ya kucheza, ikifanyika katika mandhari mbalimbali zenye mvuto ...

Erick
  • 0
  • 0

Leo tarehe 25/07/2024 KUMB NA.SDC/A20/17/22, Sekretarieti ya Ajira Tanzania imetangaza nafasi za kazi mpya katika Ajira Mpya Wilaya ya Songwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu ...

Erick
  • 1
  • 1

Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi ambazo ni Ajira Mpya kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) – Utumishi Julai 2024. Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) ni shirika linalomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ...