
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Ajira Mpya Nafasi za kazi Wilaya ya Singida – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ...