
Link za Magroup ya WhatsApp kwa walimu walioitwa kwenye usaili wa Utumishi ni njia muhimu ya mawasiliano na ushirikiano kati ya walimu wanaotafuta nafasi za kazi serikalini. Kupitia magroup haya, walimu wanaweza kushirikishana taarifa za muhimu kama tarehe za usaili, ...