Maelezo, Jinsi ya Kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania. Maombi yote ya mkopo yatafanyika kupitia Mfumo wa Maombi na Usimamizi wa Mikopo (OLAMS). Waombaji wote wa mikopo WANAKUMBUSHWA kutumia namba ileile ya Mtihani wa Kidato cha Nne iliyotumika wakati ...
Habari Times Latest Questions
Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB; Gharama za chakula na malazi, vitabu na viandikwa, mafunzo kwa vitendo, gharama za tafiti yatalipwa moja kwa moja kwa mwanafunzi wakati Ada ya mafunzo na mahitaji maalum ya kitivo yatalipwa moja kwa moja kwenye ...
Baada ya kuainisha waombaji wahitaji na kuonesha taratibu makundi ya Kozi au programu zifuatazo zenye vipaumbele zitapewa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo Tanzania – HESLB kulingana na uwepo wa fedha. Kundi la Kwanza: Kozi katika kundi la kwanza ni: – Ualimu wa ...
Vigezo vya kupata Mkopo kutoka HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania sifa za jumla zinamtaka mwombaji mkopo atimize masharti yafuatayo: – Awe Mtanzania; Awe ameomba mkopo kupitia mfumo wa maombi ya mkopo (OLAMS); Awe amedahiliwa katika taasisi ya elimu ya juu yenye ithibati, ...
Waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2024/2025 wanafahamishwa kuzingatia mambo yafuatayo: Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo huu wa mwaka wa masomo 2024/2024; Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne iwe sawa kwenye ...