
TAARIFA: Kubadili Taarifa Waombaji Kazi Kada Ya Elimu. Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwajulisha wale wote walioomba kazi ya kufundisha katika Mikoa tofauti tofauti kuwa, imetoa siku tatu kuanzia terehe 14 mpaka16 Septemba, 2024 ...