
Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina waliofaulu na ambao hawakufaulu kwamba Matokeo Ya Usaili Msaidizi Wa Afya yapo tiari. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya ...