
Nafasi za Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwa ajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024 Nafasi zinazotangazwa ni:- Msimamizi wa Kituo Afisa Mwandikishaji ...