Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajita katika Utumishi wa Umma | Tangazo Muhimu kuhusu Ajira za Ualimu 2025. Ikumbukwe Julai 20, 2024 kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa walikaribisha maombi ya kazi kutoka kwa ...
Home/Sekretarieti ya Ajira
Matangazo ya kazi
Ajira Portal
Habari Times Latest Questions
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Orodha ya majina ya walioitwa au Kuitwa Kazini Utumishi leo Julai 2024 yametangazwa. Hongera kwa walioitwa mnakaribisha kwenye Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa bidii na weledi katika kuwatumikia Watanzania.
Matangazo ya kazi
Ajira Portal