Leo tarehe 25/07/2024, Serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira wametangaza fursa mpya za nafasi za kazi – Ajira Mpya Wilaya ya Muleba – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangazia kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-
Nafasi za kazi Muleba
1. DEREVA II – NAFASI 09
2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI 08
3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – NAFASI 05
4. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA III – NAFASI 20
5. MSAIDIZI WA MAENDELEO YA JAMII II – NAFASI 12
Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi Muleba
Endelea kusoma maelezo zaidi hapa chini..
NAFASI ZA KAZI MULEBA JULAI 2024.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 06 Julai, 2024.
MUHIMU. Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa na ielekezwe kwa anuani ya; –
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA MULEBA,
S.L.P 131,
MULEBA