Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2506
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • -1
Erick
Asked: July 25, 20242024-07-25T14:13:58+00:00 2024-07-25T14:13:58+00:00In: Elimu

Jinsi ya Kutuma Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024/2025 – MOEST TCMS

  • -1

Ikumbukwe; Leo kupitia Wizara ya Afya wametangaza nafasi za Mafunzo ya Walimu (Ualimu). Hivyo huu ni mwongozo wa Jinsi ya Kutuma Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024/2025 – MOEST TCMS Teacher Colleges Management System(TCMS) Student`s Portal. Wahitimu wa kidato cha nne, kidato cha sita na walimu waliohitimu Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi, wenye sifa zilizobaizinishwa katika tangazo hili  wanaruhusiwa kutuma maombi;

Jinsi ya Kutuma Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024

Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika vyuo vya Ualimu vya Serikali    wanatakiwa kujisajili na kutuma maombi kielektroniki kupitia mfumo wa udahili wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia < – BOFYA HAPA KUJISAJILI ->.

Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu kwa vyuo visivyo vya Serikali watume maombi yao moja kwa moja katika vyuo wanavyotaka kusoma na vyuo husika viwasilishe sifa za waombaji Baraza la Mitihani Tanzania kwa uhakiki;

Mwombaji  wa mafunzo ya Ualimu ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi (Miaka 02) atachagua kozi tatu (03) kwa kuanza na ile anayoipenda zaidi;

Mwombaji  wa mafunzo ya Ualimu ya Stashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi (Miaka 03) atachagua tahasusi tatu (03) kwa kuanza na ile anayoipenda zaidi;

Majibu kwa watakaochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu katika Vyuo vya Ualimu vya Serikali yatatolewa kwenye mfumo kupitia “account” aliyotumia mwombaji kuomba mafunzo ya Ualimu (kuanzia tarehe 25/08/2024) na katika Vyuo vya Ualimu walivyochaguliwa; 

Fomu  za kujiunga na Mafunzo zitatolewa kupitia tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (http://www.moe.go.tz) na Chuo atakachopangwa mwombaji kwa kutumia anuani yake. Waombaji wote wanashauriwa kuandika anuani kamili, barua pepe na namba ya simu inayopatikana kwa mawasiliano zaidi; na

Majibu na fomu za kujiunga na Chuo kwa watakaochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu katika Vyuo vya Ualimu visivyo vya Serikali yatatolewa na vyuo husika.

Jinsi ya Kutuma Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024Mafunzo ya Ualimu 2024Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024Mfumo wa maombi ya mafunzo ya ualimu 2024
  • 1 1 Answer
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-25T14:15:56+00:00Added an answer on July 25, 2024 at 2:15 pm

      Mfumo wa maombi ya mafunzo ya Ualimu 2024
      Karibu kwenye Tovuti ya Wanafunzi ya TCMS. Kupitia tovuti hii utaweza kuomba kudahiliwa katika kozi mbalimbali zinazotolewa na Vyuo vya Ualimu, Kujiandikisha kwa ajili ya masomo katika kila muhula, Kuangalia matokeo ya mitihani na huduma nyinginezo binafsi.

      Uchunguzi
      Kwa uchunguzi wowote wa kutumia mfumo au mchakato wa udahili piga 0737 962 965 au tuma barua pepe kwa info@moe.go.tz

      • 1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Fomu ya Ombi la Cheti Mbadala NECTA - Baraza la ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya ...

      • 3 Answers
    • Erick

      NECTA Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024-25 CSEE ...

      • 1 Answer
    • Erick

      NECTA Fomati ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Darasa ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025

      • 1 Answer

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.