Usaili Mteknolojia Dawa Na Usaili Maabara
Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya waliofanya usaili kuwa Matokeo Ya Usaili Mteknolojia Dawa Na Maabara yametoka Utumishi. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Matokeo ya usaili Ajira Portal – Utumishi
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao
- MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY II)
- MTEKNOLOJIA MAABARA II – ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II)
Soma zaidi: