Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 3282
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 6
Erick
Asked: August 3, 20242024-08-03T09:56:47+00:00 2024-08-03T09:56:47+00:00In: Ajira

Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024

  • 6

Leo serikali imetangaza nafasi za kazi Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu sita, mia mbili, hamsini na saba (6,257) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi August 2024

Ajira Mpya MDAs & LGAs

1. MSAIDIZI WA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEEKEEPING ASSISTANT II) NAFASI 47
2. MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR II) – NAFASI 4
3. AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II) – NAFASI 350
4. AFISA UVUVI DARAJA LA II (FISHERIES OFFICER II) – NAFASI 90
5. DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) – NAFASI 514
6. AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME OFFICER II) – NAFASI 26
7. AFISA MISITU DARAJA LA II ( FOREST OFFICERS) – NAFASI 91
8. AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL OFFICER II) NAFASI 119
9. AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II) – NAFASI 56
10. AFISA UTALII DARAJA LA II (TOURISM OFFICER II) – NAFASI 27
11. AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE II) NAFASI 27
12. AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL OFFICER II) NAFASI 105
13. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICER II) – NAFASI 481
14. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III – (AGRICULTURE FIELD OFFICER III) – NAFASI 477
15. AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER II) NAFASI – 63
16. AFISA UNUNUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT PROCUREMENT OFFICER II) – NAFASI 120
17. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) – NAFASI 382
18. MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II) – NAFASI 78
19. MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II) NAFASI – 350
20. AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II (CULTURAL OFFICER II) – NAFASI 6
21. AFISA UTAMADUNI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT CULTURAL OFFICER II) – NAFASI 6
22. MHIFADHI WA WANYAMAPORI DARAJA LA III (GAME WARDEN III) – NAFASI 6
23. AFISA MICHEZO DARAJA LA II (GAME AND SPORTS DEVELOPMENT OFFICER II) – NAFASI 29
24. AFISA UTUMISHI DARAJA LA II (HUMAN RESOURCE OFFICER II) NAFASI 95
25. AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEE-KEEPING OFFICER II) – NAFASI 32
26. AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)– NAFASI 87
27. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II) – NAFASI 350
28. MSAIDIZI WA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD ASSISTANT II) – NAFASI 182
29. MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST II)– NAFASI 138
30. MTAKWIMU DARAJA LA II (STATISTICIAN II) NAFASI 128
31. AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II) – NAFASI 64
32. AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER II) – NAFASI 193
33. MHANDISI UJENZI DARAJA LA II (CIVIL ENGINEER II) – NAFASI 85
34. MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT II) – NAFASI 63
35. AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) – NAFASI 380

Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi MDAs & LGAs

AjiraAjira Mpya MDAs & LGAsMDAs & LGAsNafasi za kazi MDAs & LGAsUtumishi
  • 3 3 Answers
  • 12k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    3 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Erick
      2024-08-03T10:17:10+00:00Added an answer on August 3, 2024 at 10:17 am

      VIWANGO VYA MISHAHARA MDAs & LGAs 2024 / 2025

      Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B
      Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E
      Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D
      Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS C
      Kwa kuzingatia ngazi ya Mshahara wa Serikali TGS

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    2. Erick
      Erick
      2024-08-03T09:59:50+00:00Added an answer on August 3, 2024 at 9:59 am

      NGAZI YA MISHAHARA MDAs & LGAs

      Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali kuanzia TGS A, TGS B,TGS D, TGS E

      • -8
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    3. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-08-03T09:58:05+00:00Added an answer on August 3, 2024 at 9:58 am

      Ajira Mpya MDAs & LGAs 2024 – Nafasi za kazi Ajira Portal

      Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024.
      MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;

      KATIBU,
      OFISI YA RAIS,
      SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
      S. L. P. 2320, DODOMA.

      • -10
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 172
    • Answers : 261
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi

      • 11 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • K12
      K12 added an answer Mmh May 9, 2025 at 3:51 pm
    • K12
      K12 added an answer Mmh May 9, 2025 at 3:51 pm
    • K12
      K12 added an answer Noma May 9, 2025 at 3:51 pm

    Related Questions

    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kazi DHL Tanzania 2025

      • 0 Answers
    • Jumbo

      Mwafaka wa malalamiko matokeo ya usaili TRA ni upi?

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye Usaili NEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.