Leo kutoka utumishi (PSRS0, Ajira Mpya – wametangaza Nafasi za kazi Manispaa ya Iringa – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kumb. Na. IMC/C.40/23/358
Ajira Mpya Iringa
MWANDISHI MWENDESHA OFFISI DARAJA II- (NAFASI 5): Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi
Bonyeza hapa kudownload Tangazo la nafasi za kazi Iringa
Endelea kusoma maelezo hapa chini..
Ajira Mpya Iringa 2024 Utumishi – Nafasi za Halmashauri.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01/08/2024.
Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja
na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi wa Halmashauri,
Manispaa ya Iringa,
S.L.P. 162,
IRINGA.