Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2496
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: July 25, 20242024-07-25T13:21:53+00:00 2024-07-25T13:21:53+00:00In: Ajira

Nafasi za kazi Mji Masasi – Utumishi Julai 2024

  • 0

Leo kutoka Sekretarieti ya Ajira, Serikali imetangaza ajira mpya au Nafasi za kazi Mji Masasi – Utumishi Julai 2024. Kufuatia Halmashauri ya Mji Masasi kupata kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, chenye nafasi ya Mtendaji wa Mtaa III (6) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo :-

Ajira Mpya Masasi

1. MTENDAJI WA MTAA III– NAFASI (6)

KAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA III
i. Katibu wa Kamati ya Mtaa.
ii. Mtendaji Mkuu wa Mtaa.
iii. Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.
iv. Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa.
v. Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazo tumika katika Mtaa.
vi. Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya ulinzi na usalama.
vii. Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na
umaskini katika mtaa.
viii. Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote.
ix. Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa.
x. Kuwajibika kwa Mtendaji wa Kata.

SIFA ZA MWOMBAJI:

Awe amehitimu elimu ya kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada(Cheti) cha NTA Level 5 katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamiziwa Fedha, Maendeleo ya jamii na Sayansi ya Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi Masasi

AjiraAjira Mpya MasasiHalmashauri ya Mji MasasiMasasiNafasi za kazi Masasi
  • 1 1 Answer
  • 312 Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-25T13:23:09+00:00Added an answer on July 25, 2024 at 1:23 pm

      Ajira Mpya Masasi 2024

      Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili.
      Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 06/08/2024

      MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –

      Mkurugenzi wa Mji,
      Halmashauri ya Mji Masasi,
      S.L.P 447,
      MASASI.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 271
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Janeth N Mafie
      Janeth N Mafie added an answer Application for the temporary position as assistant accountant May 10, 2025 at 12:58 pm
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm

    Related Questions

    • Erick

      Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi - Ajira za ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.