Tangazo la ajira mpya PSRS, Nafasi za kazi Newala – Utumishi Julai 2024; Kufuatia Halmashauri ya Mji Newala kupata kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, chenye nafasi ya Dereva Daraja la II (5), Dereva wa Mitambo Daraja la II (1) na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (5) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi kama zilivyoorodheshwa katika tangazo hili:-
Kumb.Na.NTC/L.10/02/VOL.1/24
Ajira Mpya Newala
1. DEREVA DARAJA LA Il – NAFASI 5
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II – NAFASI 3
- Kuorodhesha barua zinazoingia masjala kwenye rejista.
3. DERAVA WA MITAMBO II – NAFASI MOJA (1)
- Kuendesha mitambo chini ya usimamizi wa dereva mitambo mwenye uzoefu.
Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi Newala
Endelea kusoma maelezo yote kwa chini..
Nafasi za Ajira Newala Halmashauri.
Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 29/07/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji Newala,
S.L.P 39
63482 NEWALA