Leo kutoka Utumishi (PSRS), Tangazo la Ajira mpya Nafasi za kazi Njombe – Utumishi Julai 2024; Halmashauri ya Mji Njombe kupitia kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 chenye nafasi za Mtendaji wa Mtaa III (2), Dereva Daraja II (3), Mwandishi mwendesha Ofisi II (8) na Mhudumu wa Jikoni (1), kutoka kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais Manejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe kupitia kibali tajwa anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo:-
Kumb. Na:NTC/E:P/152/1B/109
Ajira Mpya Njombe
1. MTENDAJI WA MTAA III – NAFASI 2
- Msimamizi wa Utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika Mtaa.
2. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 3
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
3. MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI 8
- Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine.
4. MHUDUMU WA JIKONI – NAFASI 1
- Kusafisha vyombo vya kupikia.
Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi Njombe
Endelea kusoma maelezo yote hapa chini..
Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Njombe – Ajira Mpya Njombe 2024.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 29 July, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Mji Njombe,
S.L.P. 577,
NJOMBE.