Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Busokelo – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo amepokea kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chenye Kumb. Namba FA.97/288/01/09 ya tarehe 25/06/2024. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

Ajira Mpya Busoselo
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – NAFASI (09)
2. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI (09)
3. MWANDISHI MWENDESHA OFISI LA II – NAFASI (04)
4. MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI DARAJA LA II – NAFASI (03)
Ajira Mpya Busokelo 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSOKELO
S.LP. 2
TUKUYU.