Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Chemba – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Chemba anawatangaza watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kuomba nafasi za kazi mbalimbali zilizotajwa hapa chini baada ya kupokea kibali cha Ajira mpya kwa mwaka 2023/2024 chenye Kumb. NA. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 Kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.
Unapojibu tafadhali taja: Kumb. Na. CDC/I 20/2VOL1/59
Ajira Mpya Chemba
1. WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA LA III- NAFASI (5)
2. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 3
3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 3
Ajira Mpya Chemba 2024 – Nafasi za Halmashauri
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 07 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA
S.L.P 830
CHEMBA – DODOMA.