Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Nafasi za kazi Wilaya ya Ngorongoro – Utumishi Julai 2024; Kufuatia kutolewa kwa Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo ya kujaza nafasi zifuatazo;-
Nafasi zilizo Tangazwa Ngorongoro
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA III – (NAFASI 10): Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
DEREVA DARAJA LA II – (NAFASI 3): Kufanya usafi wa gari
Bonyeza hapa kudownload Tangazo la nafasi za kazi Ngorongoro
Maelezo ya ziada yapo chini..
AJIRA MPYA NGORONGORO KUTOKA UTUMISHI.
Nafasi za Halmashauri serikalini 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya Ngorongoro,
P. O. Box 1,
LOLIONDO – NGORONGORO.