Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye sifa kuomba ajira za Mkataba kwa nafasi ya Msaidizi wa Hesabu (Accounts Assistant), nafasi tatu (03). Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kwa Wananchi wote wenye sifa.

Application for temporary job as assistant accountant