Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 4418
Next
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: September 18, 20242024-09-18T21:01:48+00:00 2024-09-18T21:01:48+00:00In: Ajira

Nafasi za Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kongwa 2024

  • 0
Nafasi za Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kongwa 2024

Nafasi za Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwa ajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024

Nafasi zinazotangazwa ni:-

  • Msimamizi wa Kituo

Afisa Mwandikishaji wa Wapiga kura

Sifa zinazotakiwa

  • Asiwe na dhamana au uongozi katika Chama chochote cha Siasa
  • Awe ni Mtumishi katika Utumishi wa Umma (Public Service)
  • Awe Mwadilifu

Namna ya kuandika barua

  • Barua zote ziandikwe kwa mkono.
  • Barua iandikwe kwa majina kamili yanayotumika katika Utumishi wa Umma
  • Barua iainishe nafasi ya kazi unayoombaBarua iainishe Cheo chako katika Utumishi wa umma.
  • Barau iainishe kituo cha kazi.Barua iandikwe anwani kamili ikiwa na namba ya simu inayopatikana wakati wote.Barua iambatishwe na taarifa binafsi (CV)
  • Barua ziwasilishwe kwa mkono Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kongwa.

Barua iandikwe kwa anwani ifuatavyo:-

Msimamizi wa Uchaguzi,

Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, S.L.P 57

KONGWA.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 20 Septemba, 2024 saa 9:30 alasiri

Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za Msimamizi wa uchaguzi

Nafasi za Msimamizi wa Uchaguzi
  • 0 0 Answers
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.