Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 1985
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: July 19, 20242024-07-19T16:48:39+00:00 2024-07-19T16:48:39+00:00In: Ajira

Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili NEC (INEC) – Biharamulo 2024

  • 0

Loe kutoka Tume ya uchaguzi Tanzania NEC, Orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili NEC (INEC) – Biharamulo 2024; Kutokana na zoezi la uandikishaji wa Daftari la kudumu la Mpiga kura linalotarajiwa kuanza tarehe 05/08/2024 hadi tarehe 12/08/2024 kwa muda wa siku saba tu:

TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI

  1. Hivyo, Afisa Mwandikishaji Jimbo la Biharamulo Mashariki anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kazi ya Muda ya Waandikishaji Wasaidizi na Waandikishaji waliofaulu usaili waliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 22/07/2024 saa 9:00 alasiri katika Shule ya Msingi Biharamulo iliyopo Kata ya Biharamulo Mjini.
  2. Waombaji wanaoitwa kwenye Usaili wanapaswa kuzingatia mambo muhimu yafuatayo:
    • Kuja na kitambulisho kinachotambulika kama vile NIDA au Kadi ya Mpiga kura.
    • Kuja na vyeti vyao asilia.
    • Kuja na vyeti vya Elimu kuanzia darasa la nne na kuendelea.
    • Kila msailiwa atagharamia chakula, usafiri na malazi.
    • Waombaji ambao hawatahudhuria siku ya usaili, nafasi zao zitachukuliwa kuwa wametoka kwenye nafasi na nafasi zao zitajazwa na waombaji wengine kulingana na masharti ya tangazo hili.
  3. Orodha ya waombaji waliotakiwa kwenye usaili imeambatishwa.

Bonyeza hapa kudownload tangazo la walioitwa kwenye usaili NEC Biharamulo

Endelea kusoma maelezo mengine chini…

INECMajina ya Walioitwa kwenye Usaili NECNECWalioitwa kwenye usaili INEC
  • 1 1 Answer
  • 2k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-19T16:51:21+00:00Added an answer on July 19, 2024 at 4:51 pm

      Orodha kamili ya majina ya walioitwa kwenye usaili NEC, na walioitwa kwenye mafunzo INEC mikoa mingine tutaiweka hivi punde..

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.