Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 4405
Next
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 4
Erick
Asked: September 14, 20242024-09-14T08:50:56+00:00 2024-09-14T08:50:56+00:00In: Ajira

TAARIFA: Kubadili Taarifa Waombaji Kazi Kada Ya Elimu

  • 4
TAARIFA: Kubadili Taarifa Waombaji Kazi Kada Ya Elimu

TAARIFA: Kubadili Taarifa Waombaji Kazi Kada Ya Elimu. Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwajulisha wale wote walioomba kazi ya kufundisha katika Mikoa tofauti tofauti kuwa, imetoa siku tatu kuanzia terehe 14 mpaka16 Septemba, 2024 kwa ajili ya kuhuisha (update) taarifa zao za Mkoa ulioomba kufanya kazi katika mfumo wa Ajira Portal endapo unasomeka tofauti na Mkoa ambao ungependa kufanya kazi. 

Aidha, Hakikisha Mkoa unaosomeka katika eneo la Mwajiri “Employer” ndilo ulilo omba kama ni tofauti unapaswa kubadilisha kwenye mfumo kwani sehemu hii ndio itakayopelekea kupangiwa kituo cha Usaili wa Mahojiano na hatimaye kupangiwa kituo cha kazi.

Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni sikivu, imesikia maombi yenu hivyo, imetoa siku tatu tu kwa ajili ya kuhuisha taarifa zenu. Changamoto hii imejitokeza wakati wa kutuma maombi ya kazi ambapo waombaji wengi walijaziwa taarifa zao na ndugu, jamaa na hata wahudumu wa ‘stationaries’ na hamkupata nafasi ya kuhakiki kilichojazwa kama ni sahihi.

Kutokana na changamoto hiyo, ofisi inawasisitiza watafuta fursa za ajira kuwa makini wakati wote wa ujazaji wa taarifa katika mfumo wa Ajira Portal na  kuhakiki taarifa zao ili kuepuka usumbufu. Ili kuweza kufanikisha kuhuisha taarifa zako katika mfumo wa Ajira Portal fuata maelekezo yafuatayo;

Nenda Sehemu iliyoandikwa “My APPLICATIONS” kwenye Akaunti yako ya Ajira Portal kisha bonyeza sehemu hiyo;

Chagua Sehemu iliyoandikwa “SELECT EMPLOYER” kisha bonyeza hapo na kuchagua mkoa ambao ungependa kufanya kazi;

Chagua Sehemu iliyoandikwa “SELECT EMPLOYER” kisha bonyeza hapo na kuchagua mkoa ambao ungependa kufanya kazi;

  1. Kisha utaona          ujumbe         umeandikwa           “EMPLOYER          CONFIRMED

SUCCESSFULLY”. Hii itamaanisha kuwa umefanikiwa kubadilisha/kuhuisha na kuchagua mkoa ambao ungependa kufanya kazi.

Ukimaliza ukienda katika Akaunti yako utaweza kuona mkoa ulio chagua na mkoa huo ndio utapelekea kupangiwa kituo cha kazi baada ya kufaulu usaili wa mahojiano.

Vile vile waomba kazi wanatakiwa kuhuisha taarifa zao katika sehemu ya “Current address” sehemu iliyoandikwa “current resident region” na “current resident district” taarifa zinazo onekana sehemu hii ndizo zitakazo tumika kupanga sehemu ya kufanyia usaili wa Kuandika/Mchujo (Aptitude Test)

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa umma itaendelea kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu na vilevile kusikiliza na kuyafanyia kazi maoni mbalimbali yanayotolewa na wadau kwa lengo la kuboresha zaidi mchakato wa ajira.

Bonyeza hapa kudownload pdf

TAARIFA KWA WAOMBAJI KAZI KADA YA ELIMUDownload
Kubadili Taarifa Waombaji Kazi Kada Ya Elimu
  • 0 0 Answers
  • 6k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.