Orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Ilemela Agosti 2024. Kwa madhumuni ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 12 (1) (b) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura za Mwaka 2024, Tangazo la Serikali Na.389 la tarehe 17/5/2024, Afisa Mwandiakshi wa Jimbo la Ilemela, anawatariifu waombaji wote walioomba nafsi za kazi za muda – wa Waandishi Wasadizi na Waendeshaaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mwaka 2024 kuwa usaili utafanyika tarehe 5 Agosti 2024 katika Shule ya Sekondari Buswelu kuanzia saa 6.00 Mchana.
Mambo ya kuzingatia kwa wasailiwa wote:-
- Usaili utafanyika tarehe 5 Agosti 2024 katika Shule ya Sekondari Buswelu. Kuanzia saa 6.00 Mchana.
- Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi wakati wa usaili, kama vile:
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha NIDA,
- Kitambulisho cha Mpiga Kura,
- Hati ya Kusafiria,
- Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
- Kila msailiwa anapaswa kuzingatia tarehe, muda na mahali pa usaili.
- Kila msailiwa anapaswa kuja na kalamu (pen) ya rangi ya bluu/nyeuzi kwa ajili ya kuandikia
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekama katika tangazo hili waisisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kukidhi masharti yatakayowekwa.
Bonyeza hapa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili Ilemela
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC ILEMELA 2024
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.
Mkurugenzi wa Manispaa, 200 Barabara ya Buswelu, 33322 Buswelu, S.L.P 735, Ilemela – Mwanza. Simu: + 255 (28) 2981109, Nukushi: + 255 (28) 2981108, Barua pepe: mlemela@pmoralg.go.tz