Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 1781
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • -1
Erick
Asked: July 18, 20242024-07-18T10:21:42+00:00 2024-07-18T10:21:42+00:00In: Ajira

Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Karagwe 2024

  • -1

Leo kutoka NEC (INEC), Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili NEC – INEC Karagwe; Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Karagwe anapenda kuwataraifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bugene saa 2:00 asubuhi.

Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bugene saa 2:00 asubuhi.
  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
  • Utambulisho utakaokubalika ni Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Hati ya kusafiria na Leseni ya Udereva.
  • Kila msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila msailiwa anatakiwa kuja na cheti cha Kidato cha nne na cheti cha kuzaliwa.
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa tena kwa kuzingatia masharti ya tangazo husika.
  • Orodha ya waombaji walioitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.

Bonyeza hapa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili INEC Karagwe

Uliza swali lako hapo chini..

INECKaragwe Walioitwa kwenye usaili NECWalioitwa kwenye usaili INECWalioitwa kwenye Usaili NEC
  • 1 1 Answer
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-18T10:25:54+00:00Added an answer on July 18, 2024 at 10:25 am

      Kwa majina mengine ya walioitwa kwenye usaili pia matokeo ya usaili tafadhali tembelea tovuti husika ya jimbo au kurasa za wilaya na majimbo pia tovuti ya INEC Tanzania

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.