Kutoka Utumishi, Jinsi ya kubadili taarifa ajiraportal – Jinsi ya kufuta cheti, document yoyote ile Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal 2025; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 ...
Habari Times Latest Questions
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Wilaya ya Liwale 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Medecins Frontiers/Doctors Without Borders (MSF) wanaoshughulika na utoaji wa Huduma ya Mama ...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka DHL Tanzania 2025 kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kujaza ajira mpya zilizotangazwa, kumbuka kutuma maombi mapema.
Naomba kujua ni kipi kinaendelea katika malalamiko ya matokeo ya usaili TRA. Mimi hata namba yangu sikuiona kwenye matokeo jamani hii ni shida sana.
Leo hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 23, 2025 – Tanzania TPF. Mkuu wa Jeshi la Polisi anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT ...
Katika makala haya ni maelezo kuhusu Fomu ya Ombi la Cheti Mbadala NECTA – Baraza la Mitihani Tanzania jinsi ya kupata cheti mbadala, jinsi ya kuomba cheti kingine necta, hatua za kufata wakati umepoteza cheti chako iwe ni cha darasa ...

Nafasi za kazi JWTZ 2025, Kujiunga na Jeshi la wananchi Tanzania Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana kwa Watanzania wenye nia na sifa zilizo tajwa hapa chini. TANGAZO LA NAFASI ZA JESHINI 2025