Mwaka 2025 unakaribia na mchakato wa uchaguzi nchini Tanzania unazidi kushika kasi. Majina kuitwa kwenye usaili NEC, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majina ya wale walioteuliwa au Walioitwa kwenye Usaili NEC Tanzania -kuhudhuria usaili katika majimbo mbalimbali nchini julai 2024.
Kuitwa kwenye usaili NEC Hii ni hatua muhimu na yenye msisimko, ikionesha mwamko mpya katika kuandaa watendaji watakaosimamia zoezi hili muhimu. Je, unajua ni nini kinachotegemewa kutoka kwao na jinsi mchakato huu unavyoendeshwa?
Ajira Portal chaneli | Jiunge hapa |
Hivyo, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 74(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Kwa kuzingatia masharti ya ibara ya 74(7) na (11) ya Katiba na kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume ni idara huru inayojitegemea na inafanya maamuzi yake rasmi kuhusu utekelezaji wa majukumu yake kwa vikao. Katika kutekeleza majukumu yake ya kikatiba, Tume haitalazimika kufuata amri au maagizo ya mtu yeyote au idara yoyote ya Serikali au maoni ya chama chochote cha siasa.
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Uchaguzi Nsimbo anawatangazia waombaji kazi nafasi za Mwandikishaji Msaidizi na Mwendesha BVR kata mbalimbali katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kufika kwenye usaili utakaoanyika tarehe 11.07.2024 katika Ofisi ya Kata Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.
Wasaliliwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi, vitambulisho mfano – kitambulisho cha mkazi, kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya Kusafiria au kitambulisho cha kazi.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (original), kuanzia cheti cha kuzaliwa, na vile ambavyo uliambatanisha kwenye barua ya maombi.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
- Kila msailiwa azingatie tarehe na mahali alipangiwa kufanyia usaili.
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC
1# USAILI KATA YA IBINDI NEC
2# USAILI KATA YA ITENKA NEC
3# USAILI KATA YA KANOGE NEC
4# USAILI KATA YA KAPALALA NEC
5# USAILI KATA YA KATUMBA NEC
6# USAILI KATA YA LITAPUNGA NEC
7# USAILI KATA YA MACHIMBONI NEC
8# USAILI KATA YA MTAPENDA NEC
9# USAILI KATA YA NSIMBO NEC
10# USAILI KATA YA SITALIKE NEC
11# USAILI KATA YA UGALLA NEC
12# USAILI KATA YA URUWIRA NEC
13# USAILI URAMBO NEC
14# USAILI BUKENE ZENGA NEC
15# USAILI ZENGA VIJIJINI NEC
Soma zaidi: NEC Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi INEC 2024
Leave a comment