Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2564
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 4
Erick
Asked: May 10, 20252025-05-10T02:14:31+00:00 2025-05-10T02:14:31+00:00In: Ajira

Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025

  • 4

Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajita katika Utumishi wa Umma | Tangazo Muhimu kuhusu Ajira za Ualimu 2025. Ikumbukwe Julai 20, 2024 kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa walikaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa katika tangazo hilo.

Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025
Ajira za Ualimu

Unapoandika barua ya maombi ya kazi kwa somo zaidi ya moja, unapasa kuandika barua kwa kila somo husika, mfano somo la Kiswahili barua yake, History barua yake na uombe nafasi hizo kama zilivyoanishwa kwenye mfumo wa maombi ya kazi.

Mawasiliano:

Kama una changamoto yoyote tuma email kwenda malalamiko@ajira.go.tz

Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025 tembelea tovuti hii http://www.ajira.go.tz kwa matangazo zaidi ya nafasi za kazi serikalini au bonyeza hapa kwa ajira mpya mbalimbali.

AjiraAjira za ualimuSekretarieti ya AjiraTangazo ajira za ualimuUalimu
  • 1 1 Answer
  • 2k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-26T10:08:59+00:00Added an answer on July 26, 2024 at 10:08 am
      This answer was edited.

      Nifanyeje Kutuma maombi ya Ajira za Ualimu 2025?

      Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’) (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi - Ajira za ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.