Taasisi inayosimamia masuala ya usajili wa vizazi, vifo, ndoa, talaka, na udhamini nchini Tanzania ni wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA). RITA, ambao unalenga kurahisisha na kuboresha huduma za uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vifo, mfumo wa kidijitali ...
Habari Times Latest Articles
Nafasi za kazi Wilaya ya Buchosa – July 2024
Je, unatafuta kazi yenye hadhi, inayokuza taaluma yako na yenye mchango mkubwa kwa jamii? Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa inakuletea nafasi adimu za ajira kama Mtendaji wa Kijiji Daraja la III. Fursa hizi ni kwa Watanzania wenye sifa stahiki na ...
PSRS walioitwa kwenye usaili Tabora
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara inayojitegemea iliyoanzishwa mahususi kuwezesha mchakato wa kuajiri watumishi katika Utumishi wa Umma. yafuatayo ni maelezo yote kuhusu PSRS walioitwa kwenye usaili Tabora ambapo chini ...
Tanzania yapokea treni mpya za umeme kwa mtandao uliopanuliwa wa SGR
Dar es Salaam. Tanzania yapokea treni mpya za umeme kwa mtandao uliopanuliwa wa SGR. Ambapo imepiga hatua kubwa katika juhudi zake za kuboresha reli kwa kuwasili kwa treni mbili mpya za kitengo cha umeme (EMU) kutoka Korea Kusini kwa mtandao ...
Jinsi ya kupata namba ya NIDA Mtandaoni
NIDA ni taasisi ya serikali ya Tanzania inayohusika na usajili wa watu na utoaji wa vitambulisho vya taifa kwa raia, ikilenga kuboresha utambulisho wa kitaifa na usalama wa kijamii. Jinsi Kupata namba ya NIDA (National Identification Number) nchini Tanzania Mtandaoni ...