Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Jinsi ya kulipa Deni la Traffic – TMS Jinsi ya kulipia deni la Gari
Jinsi ya Kulipa Faini za Traffic Tanzania Pata Taarifa ya Faini: Mara tu unapopata taarifa ya faini, hakikisha una namba ya kumbukumbu ya faini yako. Mara baada ya kulipa, utapokea risiti ya malipo kupitia SMS au barua pepe. Hifadhi risiti hii kwa ajili ya kumbukumbu na kama uthibitisho wa malipo yaRead more
Jinsi ya Kulipa Faini za Traffic Tanzania
Pata Taarifa ya Faini: Mara tu unapopata taarifa ya faini, hakikisha una namba ya kumbukumbu ya faini yako.
See lessMara baada ya kulipa, utapokea risiti ya malipo kupitia SMS au barua pepe. Hifadhi risiti hii kwa ajili ya kumbukumbu na kama uthibitisho wa malipo yako.
Jinsi ya Kupata TIN Namba TRA – Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Ikiwa mimi ninayo TIN tayari kuna haja ya kupata TIN Namba kwa ajili ya ajira? Hapana TIN hiyo ya mwanzo ndio itatumika na TIN huwa ni moja kwa mtu mmoja.
Ikiwa mimi ninayo TIN tayari kuna haja ya kupata TIN Namba kwa ajili ya ajira?
See lessHapana TIN hiyo ya mwanzo ndio itatumika na TIN huwa ni moja kwa mtu mmoja.
Jinsi ya Kupata TIN Namba TRA – Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
TIN namba huitajika kwenye malipo gani? Hutumika kwenye malipo ya kodi katika biashara, ajira, uwekezaji na pia katika malipo yasiyohusu kodi mfano ada ya leseni ya udereva.
TIN namba huitajika kwenye malipo gani?
See lessHutumika kwenye malipo ya kodi katika biashara, ajira, uwekezaji na pia katika malipo yasiyohusu kodi mfano ada ya leseni ya udereva.
Jinsi ya Kupata TIN Namba TRA – Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Kuna matumizi ya aina ngapi ya TIN? Kuna aina mbili ya matumizi ya TIN ambayo ni ya kibiashara na yasiyo ya kibiashara.
Kuna matumizi ya aina ngapi ya TIN?
See lessKuna aina mbili ya matumizi ya TIN ambayo ni ya kibiashara na yasiyo ya kibiashara.
Jinsi ya Kupata TIN Namba TRA – Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Nini maana ya TIN? TIN ni namba ya utambulisho wa mlipakodi.
Nini maana ya TIN?
See lessTIN ni namba ya utambulisho wa mlipakodi.
Nafasi za kazi Wilaya Mufindi – Utumishi Julai 2024
AJIRA MPYA MUFINDI - NAFASI ZA HALMASHAURI 2024. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, S.L.Read more
AJIRA MPYA MUFINDI – NAFASI ZA HALMASHAURI 2024.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Mufindi,
S.L.P 223,
MAFINGA.
Msimu wa 2024/25 | Jezi Mpya za Yanga SC 2024
Bei ya Jezi Mpya Za Yanga Msimu wa 2024/2025. Uongozi wa klabu ya Yanga kuptia matawi ya klabu hiyo umethibisha rasmi kuwa jezi mpya za Yanga zitapatikana kwa bei ya Tsh 32,000 kwa kila moja. Hivyo wananchi zinagtia bei hii ujioatie uzi mpya wenye mwonekano mzuri.
Bei ya Jezi Mpya Za Yanga Msimu wa 2024/2025.
Uongozi wa klabu ya Yanga kuptia matawi ya klabu hiyo umethibisha rasmi kuwa jezi mpya za Yanga zitapatikana kwa bei ya Tsh 32,000 kwa kila moja. Hivyo wananchi zinagtia bei hii ujioatie uzi mpya wenye mwonekano mzuri.
See lessMambo ya Kuzingatia Kabla na Wakati wa Usaili wa Jeshi la Polisi 2024
Vitu vya kuzingatia wakati wa usaili Jeshi la Polisi TANZANIA 2024. Wakati wa Usaili 1. Kuwa na Nidhamu na Muonekano Mzuri Mavazi: Va mavazi rasmi na nadhifu. Kumbuka kuonyesha heshima na nidhamu katika mavazi yako. Tabia: Onyesha nidhamu na heshima katika mazungumzo na matendo yako. 2. Kujibu MaswaRead more
Vitu vya kuzingatia wakati wa usaili Jeshi la Polisi TANZANIA 2024.
Wakati wa Usaili
See less1. Kuwa na Nidhamu na Muonekano Mzuri
Mavazi: Va mavazi rasmi na nadhifu. Kumbuka kuonyesha heshima na nidhamu katika mavazi yako.
Tabia: Onyesha nidhamu na heshima katika mazungumzo na matendo yako.
2. Kujibu Maswali kwa Ujasiri
Ukweli: Jibu maswali kwa ukweli na usijaribu kudanganya.
Ujasiri: Ongea kwa kujiamini na epuka kutetemeka.
Uelewa: Elewa maswali vizuri kabla ya kujibu. Ikiwa hujaelewa swali, uliza ufafanuzi.
3. Kujua Sheria na Taratibu za Jeshi la Polisi
Sheria: Elewa sheria za nchi na jinsi zinavyotekelezwa na Jeshi la Polisi.
Taratibu: Jua taratibu na kanuni za Jeshi la Polisi.
4. Kujua Misingi ya Huduma kwa Umma
Huduma Bora: Kuwa tayari kutoa huduma bora kwa wananchi.
Kushughulikia Malalamiko: Elewa jinsi ya kushughulikia malalamiko na matatizo ya jamii kwa njia ya heshima na ufanisi.
5. Kuwa Tayari kwa Kipimo cha Kimwili
Mazoezi ya Awali: Hakikisha umefanya mazoezi ya kutosha kabla ya siku ya usaili.
Afya Bora: Kuwa na afya bora na ushiriki kwenye vipimo vya kimwili kwa bidii.
Mambo ya Kuzingatia Kabla na Wakati wa Usaili wa Jeshi la Polisi 2024
Mambo ya kuzingatia kabla ya usaili jeshi la POLISI Tanzania 2024. Kabla ya Usaili 1. Kujua Mahitaji na Vigezo Elimu: Hakikisha una kiwango cha elimu kinachohitajika. Umri: Fahamu umri unaotakiwa kwa waombaji. Sifa za Kimwili: Jiandae kwa kipimo cha urefu, uzito, na uwezo wa kimwili. 2. Maandalizi yRead more
Mambo ya kuzingatia kabla ya usaili jeshi la POLISI Tanzania 2024.
Kabla ya Usaili
See less1. Kujua Mahitaji na Vigezo
Elimu: Hakikisha una kiwango cha elimu kinachohitajika.
Umri: Fahamu umri unaotakiwa kwa waombaji.
Sifa za Kimwili: Jiandae kwa kipimo cha urefu, uzito, na uwezo wa kimwili.
2. Maandalizi ya Kimwili
Mazoezi: Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara ili kujiweka sawa kimwili. Mazoezi haya ni pamoja na kukimbia, mazoezi ya nguvu, na mazoezi ya stamina.
Lishe Bora: Kula chakula chenye lishe bora ili kuimarisha afya yako na uwezo wa kimwili.
3. Maandalizi ya Kiakili
Kusoma: Soma vitabu na makala kuhusu Jeshi la Polisi na sheria zake.
Mazoezi ya Kiakili: Fanya mazoezi ya kutatua matatizo na maswali ya kiakili.
4. Kuandaa Nyaraka Muhimu
Vyeti: Hakikisha una nakala halisi na za nakala za vyeti vyote muhimu.
Nyaraka za Utambulisho: Panga nyaraka zako kama vile cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, na vyeti vya afya.
5. Kufanya Utafiti
Kujua Taasisi: Fahamu historia na majukumu ya Jeshi la Polisi.
Mchakato wa Usaili: Elewa hatua mbalimbali za usaili na kile kinachotarajiwa katika kila hatua.
Nafasi za kazi Bakhresa | Ajira Mpya Kiwanda cha Bakhresa Julai 2024
AJIRA MPYA KUTOKA BAKHRESA JULY 2024. Wagombea wenye sifa na wenye nia wanapaswa kutuma wasifu wao (CV) kupitia: recruitment@bakhresa.com kabla ya tarehe 29 Julai 2024. Tafadhali kumbuka kuwa NI WAGOMBEA WALIOORODHESHWA PEKEE ndio watakaowasiliana nao.
AJIRA MPYA KUTOKA BAKHRESA JULY 2024.
Wagombea wenye sifa na wenye nia wanapaswa kutuma wasifu wao (CV) kupitia: recruitment@bakhresa.com kabla ya tarehe 29 Julai 2024. Tafadhali kumbuka kuwa NI WAGOMBEA WALIOORODHESHWA PEKEE ndio watakaowasiliana nao.
See less