Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
TANGAZO la Walioitwa kwenye Usaili NEC (INEC) – Nyang’hwale Julai 2024
Orodha ya Majina ya kuitwa kwenye USAILI NEC. Yatawekwa kwenye mbao za matangazo jimboni kwako au tembelea tovuti husika ya NEC/INEC
Orodha ya Majina ya kuitwa kwenye USAILI NEC.
Yatawekwa kwenye mbao za matangazo jimboni kwako au tembelea tovuti husika ya NEC/INEC
See lessNafasi za Kazi Cartrack – Julai 2024
AJIRA MPYA Cartrack JULAI 2024. Soma maelezo kwa makini kuweza kupata ajira.
AJIRA MPYA Cartrack JULAI 2024.
Soma maelezo kwa makini kuweza kupata ajira.
See lessNafasi za Kazi Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC – Julai 2024
AJIRA MPYA BENKI YA MKOMBOZI 2024. Sifa na Ujuzi Unaohitajika: Shahada ya Biashara, Fedha, Usimamizi au fani nyingine zinazohusiana. Uzoefu wa miaka mitatu (3) au zaidi katika nafasi ya usimamizi wa tawi la benki au sehemu nyingine inayofanana. Uwezo wa kuongoza na kusimamia timu kwa ufanisi. UjuziRead more
AJIRA MPYA BENKI YA MKOMBOZI 2024.
Sifa na Ujuzi Unaohitajika:
Shahada ya Biashara, Fedha, Usimamizi au fani nyingine zinazohusiana.
See lessUzoefu wa miaka mitatu (3) au zaidi katika nafasi ya usimamizi wa tawi la benki au sehemu nyingine inayofanana.
Uwezo wa kuongoza na kusimamia timu kwa ufanisi.
Ujuzi mzuri wa mawasiliano na huduma kwa wateja.
Uelewa mzuri wa bidhaa na huduma za kifedha.
Nafasi za kazi Nyasa – Utumishi Julai 2024
AJIRA MPYA NYASA - NAFASI ZA HALMASHAURI 2024. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa 2 Barabara ya NyeRead more
AJIRA MPYA NYASA – NAFASI ZA HALMASHAURI 2024.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji (W),
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Nyasa
2 Barabara ya Nyerere
S.L.P. 90,
Mbamba Bay,
57582 Nyasa – Ruvuma
Nafasi za kazi Wilaya ya Ngorongoro – Utumishi Julai 2024
AJIRA MPYA NGORONGORO KUTOKA UTUMISHI. Nafasi za Halmashauri serikalini 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji, HalmashauRead more
AJIRA MPYA NGORONGORO KUTOKA UTUMISHI.
Nafasi za Halmashauri serikalini 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya Ngorongoro,
P. O. Box 1,
LOLIONDO – NGORONGORO.
Ajira Mpya za Walimu Julai 2024 – Mfumo wa Maombi ya Ajira za Ualimu
Maombi ya Kazi ya Ualimu: CV nzuri na mifano ya Barua. Barua ya Maombi ya Kazi ya Ualimu: Zingatia tangazo husika linasemaje pia anuani kuweka sahihi yako uliyo isaini kwa mkono. Mfano wa CV ya maombi ya kazi ya Ualimu: Zingatia uandishi mzuri kwa kufata mwongozo uliotolewa ili kujihepusha kukosa kaRead more
Maombi ya Kazi ya Ualimu: CV nzuri na mifano ya Barua.
Barua ya Maombi ya Kazi ya Ualimu: Zingatia tangazo husika linasemaje pia anuani kuweka sahihi yako uliyo isaini kwa mkono.
See lessMfano wa CV ya maombi ya kazi ya Ualimu: Zingatia uandishi mzuri kwa kufata mwongozo uliotolewa ili kujihepusha kukosa kazi au kukosa kutoitwa kazini au kwenye usaili.
Ajira Mpya za Walimu Julai 2024 – Mfumo wa Maombi ya Ajira za Ualimu
CV na Barua ya kazi Ajira za Ualimu - Walimu 2024. Unaweza kuhariri barua yako ya maombi ya kazi kwa kuondoa uliyokuwa umeweka awali na kuweka barua nyingine. Utaweza kufanya hivi tu endapo bado tangazo la maombi ya kazi bado liko hewani na muda wa kuwasilisha maombi haujamalizika. Baada ya kubonyezRead more
CV na Barua ya kazi Ajira za Ualimu – Walimu 2024.
Unaweza kuhariri barua yako ya maombi ya kazi kwa kuondoa uliyokuwa umeweka awali na kuweka barua nyingine. Utaweza kufanya hivi tu endapo bado tangazo la maombi ya kazi bado liko hewani na muda wa kuwasilisha maombi haujamalizika.
Baada ya kubonyeza kitufe cha kuhariri (edit) utatakiwa kuambatisha barua inayotakiwa na kubonyeza sehemu iliyoandikwa huisha (update) ili kuhifadhi (save) barua yenye mabadiliko katika mfumo.
See lessJinsi Ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu (Ualimu) Utumishi – Ajira Portal 2024
Mfumo wa Ajira za Ualimu Ajira Portal Utumishi 2024. Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu: - Chagua ngazi yako ya Elimu - Chagua nchi uliyosoma. - Chagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu. - Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lRead more
Mfumo wa Ajira za Ualimu Ajira Portal Utumishi 2024.
Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu:
See less– Chagua ngazi yako ya Elimu
– Chagua nchi uliyosoma.
– Chagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu.
– Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lake lifanane na kilichoandikwa kwenye cheti chako cha kuhitimu ambacho unataka kukiambatisha kwenye mfumo, endapo hujapata jina linaloendana na kozi uliyomaliza huenda umechagua sehemu isiyo sahihi na taaluma yako, hivyo tafuta sehemu nyingine kwa kutumia jina la fani uliyofuzu kama ilivyoandikwa kwenye cheti chako.
– Chagua au jaza jina la chuo na kama chuo ulichosoma hakipo andika jina kamili kwa kirefu, usitumie vifupisho havikubaliki.
– Onyesha ulianza lini na ulihitimu lini.
– Ambatisha nakala ya cheti kilichothibitishwa na mwanasheria na hakikisha cheti chako unachokiweka hakizidi 2MB.
– Bonyeza sehemu ya hifadhi (save) ili taarifa na nyaraka zako ziweze kuhuishwa na kuhifadhiwa kwenye mfumo.
Jinsi Ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu (Ualimu) Utumishi – Ajira Portal 2024
Mfumo wa maombi ya ajira za walimu 2024 Utumishi. Taarifa za Kitaaluma: Katika eneo hili, mwombaji wa ajira anapaswa kuchagua kiwango cha elimu kwenye eneo la “educational level”. Inashauriwa mwombaji kazi aanze na taarifa za kidato cha nne na kuendelea kulingana na kiwango chake cha elimu. Wakati wRead more
Mfumo wa maombi ya ajira za walimu 2024 Utumishi.
Taarifa za Kitaaluma: Katika eneo hili, mwombaji wa ajira anapaswa kuchagua kiwango cha elimu kwenye eneo la “educational level”. Inashauriwa mwombaji kazi aanze na taarifa za kidato cha nne na kuendelea kulingana na kiwango chake cha elimu. Wakati wa kuingiza taarifa za kiwango cha elimu baada ya zile za elimu ya sekondari, mwombaji kazi anatakiwa kuchagua kundi la kozi yake (programme category).
Endapo umechagua kundi la kozi yako na usipoiona tambua kuwa hukuwa umechagua kundi stahiki na hivyo itakulazimu kurudi na kupitia makundi hayo upya. Aidha, kama mwombaji amesoma nje ya Tanzania atatakiwa kujaza kwenye eneo la kundi la kozi husika na Sekretarieti ya Ajira itathibitisha usahihi wa chaguo aliloliweka.
See lessAjira za Walimu 2024 Utumishi – Ajira za Ualimu Utumishi
Nafasi za Walimu 2024 Utumishi: Jinsi ya kutuma maombi ajira portal. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE). Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. Maombi yote yatumRead more
Nafasi za Walimu 2024 Utumishi: Jinsi ya kutuma maombi ajira portal.
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa ajira portal utumishi hapa https://portal.ajira.go.tz
See less